Watu wala watu

Watu wala watu

Mshana buana mi wananiwangia sana hukuu usiku nasikia maruweruwe tu naomba hirizi niwafunge wanikome mtoto wa watu mie
Cc; Smart911
 
Mbona hapahapa kwetu Tz wapo wale ambao hula kondo la mtoto. Yaani, mama aweza hata rudishwa kwao mume asipoliona. Tena wanajua hatakulichunguza kuona ka kimekatwa kipande.
Wala watu ni wengi. Abasenene mnawajua?? Wale wa kwetu watawajua.
Hii mpya kwangu. This beautiful country is so diverse.
Hebu nambie hao watu wapo mkoa gani???
 
Very delicious

FB_IMG_1491765452693.jpg
 

Come this way mshana atakueleza

Female private parts ni tamu kula binadamu akiwa bado hai... But akishakufa kuna utamu gani tena?

Kweli asie jua maana usimweleze maana.
Kalagabaho
Ili uweze kula nyama husika ni lazima hicho kiumbe kiwe marehemu hatuli fresh, tunakula mizoga... Fresh tunayokula ni ile when two of you are naked in the bed bumping zero distance full of sweet agonies n passion... Ile ladha ile....
 
Back
Top Bottom