Mimi sioni tofauti ya kumla ng'ombe na kumla mtu. kama ni ukatili ni ule ule kumla binadamu na mnyama! kwanini kula nyama ya binadamu muone tatizo ila kula wanyama ndo sahihi. Huo ni ukatili tu, tangu mwanzo nyama haikuruhusiwa kuliwa na binadamu bali ni uvumbuzi wa mwanandamu, binadamu anatakiwa ale mboga na matunda tu na sio nyama! ndo maana tumepungukiwa na ufahamu na afya bora na kuleta curse kwenye miili hii sababu ya nyama.
Conclusion: kula nyama ya binadamu ni ku advance kwenye ulaji wa nyama
Kama ilivyo kwenye vileo, unaanza kidogo kwa kula confectionaries, then una advance kidogo kidogo hadi kwenye drugs.
Hata u sodomy unaanza na kutoridhika na kawaida sasa una advance huko kwingine.
Ni wakati muafaka wa kuwaacha wanyama nao waishi. Acheni kula nyama.