Mawazo na maoni yako ninayaheshimu. Nyama ni chanzo bora cha protini tunsyoihitaji miilini mwetu.Mimi sioni tofauti ya kumla ng'ombe na kumla mtu. kama ni ukatili ni ule ule kumla binadamu na mnyama! kwanini kula nyama ya binadamu muone tatizo ila kula wanyama ndo sahihi. Huo ni ukatili tu, tangu mwanzo nyama haikuruhusiwa kuliwa na binadamu bali ni uvumbuzi wa mwanandamu, binadamu anatakiwa ale mboga na matunda tu na sio nyama! ndo maana tumepungukiwa na ufahamu na afya bora na kuleta curse kwenye miili hii sababu ya nyama.
Conclusion: kula nyama ya binadamu ni ku advance kwenye ulaji wa nyama
Kama ilivyo kwenye vileo, unaanza kidogo kwa kula confectionaries, then una advance kidogo kidogo hadi kwenye drugs.
Hata u sodomy unaanza na kutoridhika na kawaida sasa una advance huko kwingine.
Ni wakati muafaka wa kuwaacha wanyama nao waishi. Acheni kula nyama.
Tembea uyaone mkuu,Dunia ina vioja hii
Oooooh!!eti Mimi nauliza tu huwa wanasema wamakonde-gesi wanakula,ni kweli?Nyanda za juu kusini
Umewaza nini lakini Smart911 swirly?!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Nimewaza hao watu wala watu.. Do they also eat the private parts as well?
# Just wondering Super Dear #
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Especially female private parts.....Nimewaza hao watu wala watu.. Do they also eat the private parts as well?
# Just wondering Super Dear #
Yeah mshana jr do they??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Amichi yuu [emoji85] [emoji85]Habari ya uzima Mshana Jr. Duh long time best yangu!