Yaani we acha wazazi wangu wangeweza kuichukua simu yangu wangepiga vigelegele kwa sababu nikitoka kazini ni vishughuli halafu nakaa chini nakunywa chai na kuanza kusoma jf halafu nawahadithia,usiku ndio kabisa hawanioni,
Umeamua kufanya au umelazimishwa kufanya?siku hizi mchana sipo
nafanya 'fasting ya jf' lol
Kweli, you are The Boss, tulisahau... samahanii take no orders from no one.......
Mimi Mke wangu anataka kuivunja hii desktop Computer yangu kila wakati analia na mimi huachi ku chat na marafiki zako huko J.f. kulikoni namwambia mke wangu nipo kazini ananicheka sana kila siku ugomvi nifundisheni dawa ya kuiacha J.F. nimekuwa teja la nguvu ehhhhhhhhhhhh
Wife nilimwambia ni bora nishinde humu JF kila siku nikibadilishana mawazo mbalimbali ya kijamii & kisiasa na wanaJF, kuliko nkashinde baa kwa mijadala hiyo hiyo. Akazima fegi, akawa mpole.