watu wako wa karibu na 'addiction' yako ya jf ....

Yaani we acha wazazi wangu wangeweza kuichukua simu yangu wangepiga vigelegele kwa sababu nikitoka kazini ni vishughuli halafu nakaa chini nakunywa chai na kuanza kusoma jf halafu nawahadithia,usiku ndio kabisa hawanioni,
 
pole naona hauko peke yako
watu weengi 'hawaeleweki' huko makwao nahisi lol
 
Dah, jf kiboko wafanyakazi wenzangu walikuwa wakinishangaa kuona nacheka mwenyewe kila mda na nikiwa nyumban kumbe kuna mida huwa wananiongelesha hata siwasikii hadi wanishutue
 
Mimi Mke wangu anataka kuivunja hii desktop Computer yangu kila wakati analia na mimi huachi ku chat na marafiki zako huko J.f. kulikoni namwambia mke wangu nipo kazini ananicheka sana kila siku ugomvi nifundisheni dawa ya kuiacha J.F. nimekuwa teja la nguvu ehhhhhhhhhhhh
 
Mhhhhh!! Hahahahahahah lol! Aisee umenichekesha sana Mkuu hahahahah....Technology inaleta kasheshe ndani ya nyumba....Mkuu ukiomba tendo unaweza kujibiwa, "Nenda huko huko JF ukatafute wa kukufurahisha." :):)

Last edited by a moderator:
Wife nilimwambia ni bora nishinde humu JF kila siku nikibadilishana mawazo mbalimbali ya kijamii & kisiasa na wanaJF, kuliko nkashinde baa kwa mijadala hiyo hiyo. Akazima fegi, akawa mpole.
 
Hahahahahah lol! akaona bora ajinyamazie tu maana bar kuna mengi hukawii kuzuka na nyumba ndogo :)
 
Yaani we acha tu jamani. Mimi huwa nagombana na mama watoto kwa hii kitu. Utasikia 'we baba HISHAM huwa hulali wewe, kila nikishtuka usiku uko katika JF tuu. Imekuwa taaabu' ahaaaha ahaaa VIVA JF.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom