Msaada:Nifanye Nini Niweze Kuachana Na Wanawake Za Watu.

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
805
810
Habari Ya Usiku Huu Wana JF Mada Yangu Fupi Tu,
Kwa nini Huwa napenda sana Wake Za watu alafu nikigusa Kwenye Kutongoza Haraka Sana Wanakubali Yaani Huwa Nawafaidi Sana,
Kila Nikitaka Kuacha Nashindwa Nitumie Mbinu gani Hadi Niweze Kuacha Ila ukweli Ninawatafuta sana na Huwa wanakuwa na ratiba mzuri Akikuambia Saa tatu na nusu au saa tisa na nusu Muda huo huo .
Mnisaidie niweze Kuachana na Tabia hii ya kuwatafuta wake za Watu.
Ahsante.
 
Shida iko kwenye subconcious mind yako,na ili uweze kufuta kila kitu humo, unapaswa kuingia kwenye toba ya kweli...
 
Katika imani ya kiislamu na mafundusho yake, mtu anayetembea na wake za watu atapata adhabu au ataadhibiwa Sawa na adhabu ya nusu ya watu wote ulimwenguni.

Na hatoangaliwa na Mwenyezi Mungu hiyo inaonyesha ni chukizo kiasi gani Mbele za Mungu

Hapa duniani subiri arobaini yako ifike trust me UTAKUJA KUFURAHI SIKU MOJA
 
Habari Ya Usiku Huu Wana JF Mada Yangu Fupi Tu,
Kwa nini Huwa napenda sana Wake Za watu alafu nikigusa Kwenye Kutongoza Haraka Sana Wanakubali Yaani Huwa Nawafaidi Sana,
Kila Nikitaka Kuacha Nashindwa Nitumie Mbinu gani Hadi Niweze Kuacha Ila ukweli Ninawatafuta sana na Huwa wanakuwa na ratiba mzuri Akikuambia Saa tatu na nusu au saa tisa na nusu Muda huo huo .
Mnisaidie niweze Kuachana na Tabia hii ya kuwatafuta wake za Watu.
Ahsante.
Jikamatishe
 
(Mithali 6:32)

Aziniye na mwanamke, Hana akili kabisa.

USHAURI;

Kata uume wako, au nenda hosp wauondoe.

(Soma Mt 18:9)

Kama una uraibu WA kuangalia picha za ngono, TOBOA macho Yako uwe kipofu.

Kama ni mwanamke, huwezi acha kusengenya- kata ulimi wako uwe bubu.

Ni Afadhali uingie Mbinguni bila ulimi, kuliko kuwa na viungo vyote ukatupwa Jehanum.

Amen
 
Back
Top Bottom