watu wako wa karibu na 'addiction' yako ya jf ....

wengine hata ukiacha simu hapo
walichajua ni jf tu,
ofisini nimegeuza meza natazama computa yangu peke yangu
hivyo bado sijashtukiwa bado
ila najitahidi kuweka balance ya kazi na jf.
nikiwa na kazi nahama kabisa jf. but maisha yanasonga.
 
JF is an Addiction! Yaani kwanza siamini ilinichukua muda wote huu bila ku-join! Siku yangu ikianza tu, ni lazima nichungulie yaliojiri kabla sijaendelea na shughuli zangu zingine. As for My-Husband-Wangu na marafiki zangu...sijawaeleza kama mie ni Member...
 
ahaaaaaaaaaa! juzi kidsogo inichonganishe na my love, niko busy na kuperuz yy ananipigisha story hata simsikii halafu si akasikia nacheka , alinimind sana
 
Mimi Mke wangu anataka kuivunja hii desktop Computer yangu kila wakati analia na mimi huachi ku chat na marafiki zako huko J.f. kulikoni namwambia mke wangu nipo kazini ananicheka sana kila siku ugomvi nifundisheni dawa ya kuiacha J.F. nimekuwa teja la nguvu ehhhhhhhhhhhh

waombe Tanesco wakukatie umeme kama wiki mbili hivi, baada ya hapo utakuwa umeshasahau kama kuna Jf. Azante.
 
Mhhhhh!! Hahahahahahah lol! Aisee umenichekesha sana Mkuu hahahahah....Technology inaleta kasheshe ndani ya nyumba....Mkuu ukiomba tendo unaweza kujibiwa, "Nenda huko huko JF ukatafute wa kukufurahisha." :):)

Kama ulikuwepo wewe Siku moja Shemeji yako kaninyima Unyumba eti kwa sababu nakesha na J.F. kasema hivi fanya starehe na hiyo Computer yako umekuwa Teja wa J.F. Wanakupa nini huko J.F. nikamuomba samahani sana akitaka siku unyumba huwa naizima kabisa Desktop Computer yangu. kasheshe kweli ukiwa Mteja wa Jamii forums. hutoki hata kwanini sijuwi hawa Jamii Forums wanatumia Dawa gani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sjui unazungumzia watu wa karibu wapi! Lakini jibaba ni kosa la jinai waifu wako kugundua social network kama ya JF na nick yako na wewe pia bora usigundue tu. Mimi waifu siku akiniuliza kama naijua JF nitamjibu JF ni chama kipya Tanzania? yaani nitajifanya kama siielewi vile. Partner wako akiijua nick yako anaweza akakufanya toyz hapa akaja ni vi avatar vya uchokozi uchokozi na vinick vya halle berry mara mzee umenasa na gunia lako la mkaa.

Hapa nimetoa mfano tu, mimi ni katika waaminifu wachache walobaki kwenye ndoa tanzania.
 
Mi wangu wameshanizoea ..
Hata hawa ulizi tena sana sana
kama sijaingia humu wanadhani naumwa.
 
Lol! Na wakati unaopanda mlima unawaza ntashuka saa ngapi manake ule uzi unakimbia ile mbaya!
Unajua JF ni some sort of nyumba ndogo!
Kama ulikuwepo wewe Siku moja Shemeji yako kaninyima Unyumba eti kwa sababu nakesha na J.F. kasema hivi fanya starehe na hiyo Computer yako umekuwa Teja wa J.F. Wanakupa nini huko J.F. nikamuomba samahani sana akitaka siku unyumba huwa naizima kabisa Desktop Computer yangu. kasheshe kweli ukiwa Mteja wa Jamii forums. hutoki hata kwanini sijuwi hawa Jamii Forums wanatumia Dawa gani?
 
Karibu bibie unakaribishwa kwenye uroda. Angalia tu kanauna chungu jikoni usije ukakiunguza na kumsababisha Mume wako pamoja na watoto wako wakose kula Ugali....

co yey tu. Mara ya kwanza nilidhan kutoka huku ni dhamb kumbe ukitoka ni baraka kwa kua unaenda kufanya kaz na kupata kipato
 
Sjui unazungumzia watu wa karibu wapi! Lakini jibaba ni kosa la jinai waifu wako kugundua social network kama ya JF na nick yako na wewe pia bora usigundue tu. Mimi waifu siku akiniuliza kama naijua JF nitamjibu JF ni chama kipya Tanzania? yaani nitajifanya kama siielewi vile. Partner wako akiijua nick yako anaweza akakufanya toyz hapa akaja ni vi avatar vya uchokozi uchokozi na vinick vya halle berry mara mzee umenasa na gunia lako la mkaa.

Hapa nimetoa mfano tu, mimi ni katika waaminifu wachache walobaki kwenye ndoa tanzania.

nimeipenda bila hela
 
Back
Top Bottom