Watu wakifa hugeuka kuwa majini?

Watu wakifa hugeuka kuwa majini?

Hayo ni mizimu au malaika, yamekuja kwa gia ya kishetani.
 
majini o wengine huyaita mapepo yote ni kitu kilekile.so hayo majini ya huyo dada ni mizimu ya kwenye ukoo wake huko(mizimu ni mapepo ya ukoo), so sio kwamba waliokufa wanakuwa majini bt hyo mizimu ya ukoo wake ndo aliyonayo.na kuyatoa ni kwa jina la Yesu,coz hapo manaake kuna maagano yalifanywa na bibi zake huko
 
Jirani yangu kaenda kunywa pombe, kumbe ana majini.
Majini yamepanda yanajitambulisha kuwa ni bibi zake (kwao huko Msumbiji)
. Mabibi hao wanataka binti huyo arudi kwao Msumbiji, wanataka asinywe pombe wala asiweke nywele dawa.
Swali langu ni:-
Je watu wakifa hugeuka kuwa majini?
Kama sio, iweje hao majini waseme kuwa ni bibi zake?
Tena jini mmoja ni bubu, na dada huyu pia alikuwa na bibi bubu alifariki mwaka jana

Huyo ni mgonjwa wa akili tu

Inaonekana hakukubaliana kifo cha bibi yake!!!!!!!
 
M/mungu aliumba binadamu na majini kisha akaweleta duniani ili wamuabudu yeye pakee.
Sasa jee,Jini nae akifa anabadilika anakua binadamu?

Wapi imeandikwa kuwa mwenyezi Mungu aliumba majini? Majini ni roho za kishetani tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom