Hapo safi mkuu umebalance pande zote mbili hauna lawama
"Inawezekana"!Nani ajuae?Hao hapo juu wanakunywa Castle lager, lakini hao wa chini haioneshi ni kinywaji gani, inaweza kuwa Grand Malta!
Pombe Bwana, chungu lakini tamu
Na hiyo sigara vipi?Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
Na hiyo sigara vipi?Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
Kwani nimesema kanisa limekataza?? Ni watu waki-relax.Hakuna cha kutisha ..maana kanisa limeruhusu ila isiwe nyingi kupitiliza maana ndio itakupelekea kwa dhambi ..ila hao masister wa chini km watu wa tarbani vile[emoji23]
Chungu lakini tamu?? Dah! Ni chumvi yenye sukari.Pombe Bwana, chungu lakini tamu
Safi sanaaaaNaam imeandikwa, wapeni pombe masikini, wanywe wasahau shida zao
Pombe na umaskini haviendani kabisa. Ndo maana utam ukishakolea wengine wanaanza kulia ni kama wamefiwa huku wengine wakitangaza kwa sauti ya juu kwamba wakimaliza moja ya mwisho wanaenda kujitia kitanzi. 😀Naam imeandikwa, wapeni pombe masikini, wanywe wasahau shida zao
Au castle lager piaHao hapo juu wanakunywa Castle lager, lakini hao wa chini haioneshi ni kinywaji gani, inaweza kuwa Grand Malta!
Na ya juu Kwa hisani ya ya "muungano wa falme za kiarabu UAE'Picha ya chini "kwa hisani ya watu wa marekani"
Yawezekana ikawa balimi ya moto au baridi pia...."yawezekana"Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
sio vema kupinga maandiko, tunywe asee tunywe tu 😀Pombe na umaskini haviendani kabisa. Ndo maana utam ukishakolea wengine wanaanza kulia ni kama wamefiwa huku wengine wakitangaza kwa sauti ya juu kwamba wakimaliza moja ya mwisho wanaenda kujitia kitanzi. 😀
Castle larger na safari larger, naelekea bar niipendayo[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hao hapo juu wanakunywa Castle lager, lakini hao wa chini haioneshi ni kinywaji gani, inaweza kuwa Grand Malta!
Sawa sisteh. Mnywe kabisa, mimi hapa kwenye chai ya tangawizi au sharubati kama kawa ndo huwa naja na mrejesho mkianza kuulizana....eti jana kuliendaje? 😀😀sio vema kupinga maandiko, tunywe asee tunywe tu 😀
NITAJIE NI KITABU GANI NIKITUMIE KAMA POINT YANGU YA USHINDI MAENEO FULANINaam imeandikwa, wapeni pombe masikini, wanywe wasahau shida zao
hata wanachokivuta ni upepo tu na wala sio sigara.Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!