Watu waki-relax kidogo.

Watu waki-relax kidogo.

Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
 
Hakuna cha kutisha ..maana kanisa limeruhusu ila isiwe nyingi kupitiliza maana ndio itakupelekea kwa dhambi ..ila hao masister wa chini km watu wa tarbani vile[emoji23]
Kwani nimesema kanisa limekataza?? Ni watu waki-relax.
 
Naam imeandikwa, wapeni pombe masikini, wanywe wasahau shida zao
Pombe na umaskini haviendani kabisa. Ndo maana utam ukishakolea wengine wanaanza kulia ni kama wamefiwa huku wengine wakitangaza kwa sauti ya juu kwamba wakimaliza moja ya mwisho wanaenda kujitia kitanzi. 😀
 
Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
Yawezekana ikawa balimi ya moto au baridi pia...."yawezekana"
 
Pombe na umaskini haviendani kabisa. Ndo maana utam ukishakolea wengine wanaanza kulia ni kama wamefiwa huku wengine wakitangaza kwa sauti ya juu kwamba wakimaliza moja ya mwisho wanaenda kujitia kitanzi. 😀
sio vema kupinga maandiko, tunywe asee tunywe tu 😀
 
Sawa sisteh. Mnywe kabisa, mimi hapa kwenye chai ya tangawizi au sharubati kama kawa ndo huwa naja na mrejesho mkianza kuulizana....eti jana kuliendaje? 😀😀
 
Hao wa picha ya chini wenye mavazi meusi naweza kuwatetea kwamba hiyo wanayokunywa si pombe ila inawezekana ni juice ya apple au baltika na siyo bia....!
hata wanachokivuta ni upepo tu na wala sio sigara.
 
Back
Top Bottom