Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
Kwanini watu hawakumtembezea mob justice huyo dada mwizi,otherwise ataendelea kuharibu- how can one do such things to your own sister
Za mwizi ni 39, ya 40 lazima wakutie nguvuni alaaa.
Mungu atafanya kazi yake. Huo ni ushetani wa hali ya juu.
God give Fatma strength! atashinda
Nadhani hao watu waliamua na wenyewe wakanyagane wafaidi, kwani walipata hamu ya kukanyagana baada ya kuwaona mtu na shemeji live!
kawaida sana yapo haya bongo. Wazee wa kichaga wanawatia mabinti zao. Labda shemeji mashaallah kaka. Mwache ajilie vyake. Sambi sako mwenyewe.........
Ngoja waje wenyewe shauri yako. Tribe calling hiyo
Huo ni uhuni wao tu hakuna cha kutoa visingizio eti mwanamme hashughulikiwi wala nini.
Yaani nakubali wasemavyo waswahili ukiwa na mtoto mwizi ataiba huko nje ila iko siku ataiba na ndani. Huyo dada mimi nilisha conclude siku nyingi atakuwa kicheche hayuko normal. Na mdogo wake inawezekana anajua tabia ya dada yake ila alichokuwa hafahamu ni kuwa anaweza kufikia hatua ya kutembea na mumewe. Angalizo, ukiona dada sijuhi mdogo wako anakula wame za watu jua iko siku akizidiwa ataanza kula ndani.
Ooh boy you made my day...He he he !.Mimi huwa nawambia rafiki zangu, ukiwa na dada, mdogo malaya usimruhusu amzoee mumeo. Maana wame zetu wengi wako weak. Hao watakuwa walianza na matani shemeji shemeji, mwisho wamefanya kweli. Malaya hachagui cha shemeji wala mume wa jirani
Hayayote yanaletwa na JK na mafisadi papa!
mbaya sana watu kufurahia aibu ya mwingine
its called being a sadist..
Maajabu!Mimi huwa nawambia rafiki zangu, ukiwa na dada, mdogo malaya usimruhusu amzoee mumeo. Maana wame zetu wengi wako weak. Hao watakuwa walianza na matani shemeji shemeji, mwisho wamefanya kweli. Malaya hachagui cha shemeji wala mume wa jirani