Watu wakanyagana kumshuhudia aliyefumaniwa na shemeji yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wakanyagana kumshuhudia aliyefumaniwa na shemeji yake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kilimasera, Apr 18, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  KATIKA hali ya kuonyesha mmomonyoka wa adabu unazidi kushika kasi kwa baadhi ya watu, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Rabia [32] amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kukutwa akifanya mapenzi na mume wa mdogo wake.
  Hali hiyo ilijitokeza jana huko maeneo ya Yombo Vituka, majira ya saa moja usiku baada ya mdogo wa mwanamke huyo kupiga kelele za mayowe baada ya kuwakuta mumewe na dada yake wakiwa ndani wakifanya mapenzi.

  Tukio hilo lilisisimua watu na watu walimiminika eneo hilo kumshuhudia mwanamke huyo aliyekosa hata chembe ya huruma kuiba mume wa mdogo wake.

  Nifahamishe ilishuhudia tukio hilo wakati ilipokuwa katika harakati za kusuka habari na ilipofika eneo hilo ilikuta watu wakimshambilia huku wengine wakitoa maneno machafu kwa mwanamke huyo huku mdogo wake akilia kwa uchungu kuhusiana na tukio hilo.

  Na huku akijaribu kuwasiliana na kuwajuza wazazi wake kuhusiana na tukio hilo huku wengine wakimtia moyo kuhusiana na tukio hilo.

  Imedaiwa kuwa, Fatuma [28] ambaye ni mke wa mume aliyefahamika kwa jina la Fred, asubuhi ya jana aliwaaga majirani zake kuwa anakwenda mkoani Pwani kwa mama yake mzazi akamsalimie.
  Ilipofika majira ya saa 5 asubuhi walimuona dada yake alifika hapo na majirani walimjuza kuwa mdogo wake hayupo lakini cha kushangaza alionekana akifungua mlango na kuingia ndani.

  Majira ya mchana waliweza kumuona mume wa Fatuma alirudi hali ambayo hawakuielewa kwa kuwa hawakuzoea mume huyo kurudi majira hayo lakini walidhani huenda alirudi mara moja

  Majirani waliendelea na shughuli zao na kumuona dada huyo akijishughulisha na shuhguli za nyumbani kwa mdogo wake huyo na watu hawakupata na wasiwasi kwa kuwa walishamzoea kufika hapo mara kwa mara

  Mpashaji wa habari hii ambaye anaishi chumba cha pili kutoka chumba cha Fatuma alidai majria ya saa 10 jioni walisikia sauti ya redio imefunguliwa kwa sauti ya juu lakini waliendelea na shughuli zao.

  Imedaiwa Fatuma aliweza kufika nyumbani hapo majira ya saa 12:47 na aliingia ndani na ghafla alipiga kelele za mayowe na ghafla hakusikika tena akipiga kelele hizo

  Ndipo majirani walipokimbilia na kumkuta ameanguka chini kwa hofu na mume wa dada huyo akiwa amevaa upande wa kitenge na kumuona tena dada yake akiwa na amevaa upande wa khanga

  Hata hivyo waliachana na wawili walichofanya wamshuhulikie kwanza afya ya Fatuma na dakika chache baadae hali yake ikawa sawa ndipo alipoelezea hali aliyoikuta ndani kwake na kueleza kuwa alimkuta dada yake na mumewe wakiwa katika hali ya kufanya mapenzi na majirani walianza kumshambulia mwanamke huyo na kwa makelele na watu waliposikia tukio hilo walimiminika kushuhudia tukio hilo

  Imedaiwa mwanamke huyo alitaka kuchomoka mlangoni na kukimbia lakini kuna baadhi ya watu walimzuia na walimzuia pia asivae nguo na abaki hivyo hivyo

  Nifahamishe ilishuhudia mdogo wa mwanamke huyo akishikwa na majirani zake na aliomba majirani hao wampeleka kwa shangazi yake anayeishi karibu nae ili akapumnike huko na asingeweza kulala hapo

  Hadi nifahamishe inaondoka eneo hilo iliacha Fatuma anaondoka nyumbani kwake hapo kuelekea kwa shangazi yake huyo akajipumnzishe na dada yake akilia kwa kujilaumu kwa aliyoyafanya huku mume huyo nae akibaki ameinama kwa aibu aliyoipata kwa majirani zake
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  LOH! Cha mtu ndo kizuri kuliwa ati!!! Inaonekana ni mchezo wao wa muda mrefu. Lakini kutokana na tabia ya wanaume kutooa wako kina mama wengi hawana waume. Acha wale wa kuoa tu bali hata wanaume wa kufanya nao mapenzi wanakosekana maana sasa hivi vi- wanafunzi vinachangamkia tender. Shule za kata hazina mabweni, videmu vinapanga mtaani. Bado vinataka kula vizuri. Inabidi viuze ile kitu ili vipate chochote. Nimeona washkaji wakishindana kwa kuhesabu kuwa wamechukua mabinti wengi wa sekondari wanaopanga mtaani. Kwahiyo Huyo dada kujisevia mume wa mdogo wake hajakosea sana. Sasa nyie mnataka afanyeje?
   
 3. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  so sad.......lakini mbona anasemwa dada m2 mtu tu.......vipimume yeye hana kosa?

  yote ya yate.......dada mtu inaonyesha alikuwa anamtaka shemejie siku nyingi,,
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  dada mtu si ndio mkubwa hapo yawezekana hata mume alikua mdogo kwa dada mtu ila mchezo huu noma sasa wazazi wao watasemaje?inaelekea huyo dada mtu hana mume
   
 5. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  There are things that human mind does not like to accept, yet are inevitable
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Binafsi na familia yangu nampa pole fatty kwa yaliomkuta hayo ndio majaribu
  pili
  fatty lazima kama mnataka kurudiana na mumeo akuweke wazi ni kitu gan amekimiss akamfwata huyo nduguyo..unajua kuna mambo mengine tuna haribu ndoa wenyewe jamani na kilichopo lazima ukweli uwepo tatizo ni nini???wanwake wengi wamekuwa wavivu kwenye ndoa zao samahan sio fatty..nieleweke ..wamekuwa wakidharau waume zao kimistake kidogo ama amekosa hela ya kununua mchele ,unga unamnyima haki ya ndoa unataka aende wapi labda kama fatty na kama alifanya hivyo labda jamaa akaona asiende mbali sana nje ya familia ya mkewe ...wamama nanyie mtutunze mtutii tunapenda lakini tunakosa utii wenu fatty pole sana hata hivyo bado ndugu yako ana tatizo kubwa na kama vipi kampime ngoma mumeo ukikuta hana anza...mapema huyo mumewe anatakiwa na akina ocampo kabisa
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh haya mamabo mazito, ynahitaji hekima kuyamaliza!
   
 8. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...jina la mdogo mtu ni Rabia au Labia? I wish angeitwa Labia then tuna-refer anatomical position ya Labia ili kujua function zake!!
   
 9. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo kweli kabisa, tatizo ni kwamba jamaa aliishiwa hata pesa ya guest! akaja kufanyia ushenzi wake nyumbani, angeenda guest inakubalika hiyo
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaaaa, sina raha ya kucheka mie jamani niacheni mtoto wa marehemu!!!!!!
   
 11. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  duh kwa hapo ni ngumu inaonekana hao wote wana makosa mwanaume na mwanamke.ww kwa mwanamke na heshima zako zote unakubali kumvulia chupi shemeji yako na kumwonyesha nyeti zako.Yaani ana du na mdogo wako na ww pia?dah noma na ww mwanaume tamaa mbaya unataka kutembea na familia yote basi waoe wote tujue moja.Kwa kweli ni tabia mbaya sana wanadamu tuheshimiane.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sussy pole mpenzi usijali wote tu wapitaji.. hiyo avatar yako dada.inanitoa machozi

  Mh jamani maadili yamemomonyoka kabisa siku hizi sema tu wanaofumwa ni wachache lakini kunmgekuwa na dawa ya kufumania mbona tungeshangaa megi........Baba na mabinti zao. mama na vijana wao, kaka na dada ili mradi tu binadamu tumeamua kumwasi MUNGU wetu.

  Fatuma pole sana....................
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Za mwizi ni 39, ya 40 lazima wakutie nguvuni alaaa.

  Mungu atafanya kazi yake. Huo ni ushetani wa hali ya juu.

  God give Fatma strength! atashinda
   
 14. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo sijui ni nani wa kulaumiwa, dada mtu au mume au wote... au mke mwenyewe?? Haya mambo yapo sana kwenye jamii zetu...Mtu unashinda ofisini hujui nini kinaendelea nyumbani
   
 15. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Nadhani hao watu waliamua na wenyewe wakanyagane wafaidi, kwani walipata hamu ya kukanyagana baada ya kuwaona mtu na shemeji live!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  ccm hii
   
 17. M

  Maimai Senior Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kawaida sana yapo haya bongo. Wazee wa kichaga wanawatia mabinti zao. Labda shemeji mashaallah kaka. Mwache ajilie vyake. Sambi sako mwenyewe.........
   
 18. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole Fatuma, hapo ni busara na hekima zitaokoa hiyo familia. Maadili yanazidi kudidimia.
   
 19. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  DA! inasikitisha sana,
  lakin hili tatizo siyo la dada,mke,au mume peke yao,
  kwasabu tatizo ni zaidi ya linavyoonekana sasa hivi,
  LINA CHANZO CHAKE,SABABU YAKE NA MATOKEO YAKE NDIYO HAYO YANAYOONEKANA SASA HIVI.

  Laweza kuwa na sababu nyingi sana lakin kwa upeo wangu mdogo nimeweza kupata haya,
  1- HAKUNA UPENDO WA DHATI KATI YA DADA MTU NA MDOGOWAKE kuanzia utotoni mwao.
  2- KUNA USHINDANI NDANI YA MIOYO YAO KATI YA DADA NA MDOGO WAKE,
  3-MMOMONYOKO WA MAADILI KTK JAMII UMEZIDI
  4-UBINAFSI KATIKA JAMII UNASHIKA KASI ( dada mtu hakuguswa/hakufikiria maumivu ya mdogo mtu pindi angegundua uhusiano wake na shemeji yake)
  5-mume mtu hana mapenzi ya kweli kwa mkewe,hana heshima kwa mkewe/shemeji/familia ya huyo mke pamoja na yake mwenyewe,hana adabu,hana utu,mmbinafsi. Ni mgonjwa wa akili japo anaonekana ni mzima machoni pa watu,
  6-Hawajitambui wote watatu,
  na sababu nyingine nyingi utazoongezea mwana JF mwenzangu.

  WOTE WANASTAHILI KUPEWA POLE.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa nawambia rafiki zangu, ukiwa na dada, mdogo malaya usimruhusu amzoee mumeo. Maana wame zetu wengi wako weak. Hao watakuwa walianza na matani shemeji shemeji, mwisho wamefanya kweli. Malaya hachagui cha shemeji wala mume wa jirani
   
Loading...