Watu wakanyagana kumshuhudia aliyefumaniwa na shemeji yake

Kwanini watu hawakumtembezea mob justice huyo dada mwizi,otherwise ataendelea kuharibu- how can one do such things to your own sister
 
Huyo 40 yake ilifika tu. Wa hivyo mbona tunawasikia wengi (ingawa hatuna ushaidi kama huu). Kuna wadada wengi tu tunasikia makazini, mitaani wanatembea na mashemeji zao. Ila ukichunguza wanakuwa ni wale design vicheche na shemeji unakuta mambo ya fedha sio issue. Kwa sababu mimi navyojua mwanaume hawezi kutongoza shemeji aliyetulia maana atajiweka kwenye risk pale atakapotolewa nje kwani wife akijua patachimbika.
 
Huo ni uhuni wao tu hakuna cha kutoa visingizio eti mwanamme hashughulikiwi wala nini.

Yaani nakubali wasemavyo waswahili ukiwa na mtoto mwizi ataiba huko nje ila iko siku ataiba na ndani. Huyo dada mimi nilisha conclude siku nyingi atakuwa kicheche hayuko normal. Na mdogo wake inawezekana anajua tabia ya dada yake ila alichokuwa hafahamu ni kuwa anaweza kufikia hatua ya kutembea na mumewe. Angalizo, ukiona dada sijuhi mdogo wako anakula wame za watu jua iko siku akizidiwa ataanza kula ndani.
 
hahaaaaaaaaa kikulacho kumbe ki nguoni mwako.........................ninakula nae ninacheza nae kumbe mwenzangu anaona ge............re.....by mr nice
Yaani nakubali wasemavyo waswahili ukiwa na mtoto mwizi ataiba huko nje ila iko siku ataiba na ndani. Huyo dada mimi nilisha conclude siku nyingi atakuwa kicheche hayuko normal. Na mdogo wake inawezekana anajua tabia ya dada yake ila alichokuwa hafahamu ni kuwa anaweza kufikia hatua ya kutembea na mumewe. Angalizo, ukiona dada sijuhi mdogo wako anakula wame za watu jua iko siku akizidiwa ataanza kula ndani.
 
Mimi huwa nawambia rafiki zangu, ukiwa na dada, mdogo malaya usimruhusu amzoee mumeo. Maana wame zetu wengi wako weak. Hao watakuwa walianza na matani shemeji shemeji, mwisho wamefanya kweli. Malaya hachagui cha shemeji wala mume wa jirani
Ooh boy you made my day...He he he !.
 
mbaya sana watu kufurahia aibu ya mwingine
its called being a sadist..
 
Do kali ya mwaka! Mke wa mtu afumaniwa na mume wa mtu ambaye ni mume wa mdogo wake! Dada amepinda kabisa! Hapo undugu basi, yatabaki mazoea
 
Mimi huwa nawambia rafiki zangu, ukiwa na dada, mdogo malaya usimruhusu amzoee mumeo. Maana wame zetu wengi wako weak. Hao watakuwa walianza na matani shemeji shemeji, mwisho wamefanya kweli. Malaya hachagui cha shemeji wala mume wa jirani
Maajabu!
Dada ndio malaya ila mume yeye ni victim maana "Waume zenu ni weak"!
Hivi ni lini wanawake wataacha ku cover up kwa wanaume? Na ndio maana hadi kiama wanaume will get away with anything kwa sababu hao hao wanawake ndio vimbelembele kuwakingia kifua wanapofanya dhambi.Halafu wanawake wanalialia ohh wanaume wanatunyanyasa.Kwanini msinyanyaswe wakati nyie wenyewe ndio mnawalea hivo?
WAKE UP!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom