Watu wafupi mnanini lakini?

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
514
786
Nina watu fulani wafupi ofisi Mate. Kitu kidogo tu kesi. Wana tabia ya kupenda uspesho fulani hivi. Yaani hakuna kilema kizuri ila ukisikia ulemavu, acha kabisa ulemavu ni maumivu makubwa sana.

Ukitaka uprove hili utaonaka kwa shortsized people. Utaona kasoro kibao. Ukiwa kiongozi hakikisha unawapa short people special care. Hawa ni special group

Dah acheni nyie ufupi ni kilema kibaya sana.

Yaani emerging anatafuta kisingizio tu.

Aku let down. Nionavyo mie sisi sote tumeumbwa na Mungu mmoja, ni marehemu watarajiwa. Tuwape speciality

Pana dada mmoja nina kawaida ya kumpa ukarimu upendo, kwa kweli ananipenda na tunaheshimiana, ila ufupi unamtesa sana.

Jamaa weusi wafupi Mungu wangu, yaan balaa, lkn naona tuwapende ni wenzetu tusijifanye tumewapita urefu.

Tukiongea nao tupindishe goti tupungue urefu kiasi. Mimi marehemu x najua sitaishi milele.

 
Sio mbya Moja ya sifa ya wafupi wanakosoa sana. Kila kitu ni kosa, na ni ishu ndio walivyo.

Kimombo kitakatifu tunasema. "You've got to make a conscious choice every day to shed the old"
 
Kwa huu mwandiko sidhani kama haufanyi kazi ofisi ya kuuza dagaa basi upo ofisi ya makuwadi hapo Sudan ya Temeke

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
la

Watu wafupi ni shidaaa...
ila huwa wanaopoa wanawake wenu warefu na wazuri kwasababu ya mpunga. wengi wao wana mpunga kuliko warefu. unakikuta kimenunaaa kibahiliii na kina bonge la duka. wakati mrefu unambwelambwela na wanawake wanakula pesa zako za mtaji, wao wanatafuta, ukifulia tu wanapora mwanamke...though hata wakioa mrefu atakuwa anakuja kutia timu.
 
Kweli kabisa, utakuta anamke mzuri hatare...

Pesa za kutosha anazo...
 
Usikute hata Donatila naye yumo kwenye hili kundi..!! Lakini anawachamba hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…