Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

Kijana humu ni JF sio FB tafakari kabla hujaandika ujumbe wako,nani kakwambia Kahama ndo wilaya yenye kuingiza pato kuliko zote Tz? Kwa lipi? Inaizidi Ilala yenye Bandari? Nani kakwambia uwanja wa ndege wa Arusha ni mkubwa kuliko wa Mwanza? Usiropoke kijana,na Nani kakwambia mwanza Airport ina flight nyingi kuliko Kilimanjaro International Airport? Fikiri kabla ya kutenda usitake nidhibitishe mapema kwamba kila kwenye watanzania 4 kuna punguani 1.
IQ za watu wa Tanzania ni janga la dunia
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.

Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.

Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.

Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.

Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu
KAMA KUZURI MBONA UMENGANGANIA HUKU RUDI KWENU KAMA HUKUFA NJAA
 
Kuwa fair pia ungesema pia Arusha hakuna ziwa la 3 kwa ukubwa duniani na hivyo hakuna shughuli nyingi za uvuvi, usafiri na viwanda yabayotokana na ziwa.

Pia ungesema arusha haipo mpakani mwa nchi za maziwa makuu na hivyo kuwa na biashara za pembezoni i.e. kenya, uganda, rwanda na burundi.

Kikubwa zaidi utajiri wa dhahabu na almasi ambao arusha haina.
 
Kuwa fair pia ungesema pia Arusha hakuna ziwa la 3 kwa ukubwa duniani na hivyo hakuna shughuli nyingi za uvuvi, usafiri na viwanda yabayotokana na ziwa.

Pia ungesema arusha haipo mpakani mwa nchi za maziwa makuu na hivyo kuwa na biashara za pembezoni i.e. kenya, uganda, rwanda na burundi.

Kikubwa zaidi utajiri wa dhahabu na almasi ambao arusha haina.

Mwanza hakuna Almasi wala dhahabu
 
Acha kufananisha Arusha na kitu cha Kipuuzi

Et safari city ikiisha Arusha itaipiku Nairobi...hizi akli za viroba bhana shida sana...Mara matajir Wa Dar vs Arusha...utasikia tena arusha inaizidi dar kwa International hotels level za arusha ni Nairobi....teh teh teh ....Mungu awajalie tu Arusha ikue iwe giant city ili roho zenu zisuudhike...mana mnahangaika sana na hcho kichuguu cha Arusha...shindaneni na Mbeya kwanza
 
mkuu wwe utakuwa chagga boy!! maana unanuka Mbege na sigara kubwa!! akiki hizi ............ napita tu mkubwa
Sio sigara, sema COHIBA CUBAN CIGAR.
sio mbege, sema BELAIRE LUX
ACE OF SPADE, CIROC VODKA, EFFON VODKA,

wachagga, wapare, na wahaya hata waha waujazana dar na mwanza, kuleta maendeleo
Aisee chalii yangu huyu mleta Uzi awe makini atiiiii, kina masawe na shirima watakinukisha.[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sio sigara, sema COHIBA CUBAN CIGAR.
sio mbege, sema BELAIRE LUX
ACE OF SPADE, CIROC VODKA, EFFON VODKA,

wachagga, wapare, na wahaya hata waha waujazana dar na mwanza, kuleta maendeleo
Aisee chalii yangu huyu mleta Uzi awe makini atiiiii, kina masawe na shirima watakinukisha.[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwanini msibaki kwenu kuleta maendeleo kwenu..??????kama hamjafa njaa.
 
...yaani kwenye route nyingi za ndege kuliko KIA ndo ulipochemsha, hii haihitaji hata flight records ku-prove, unless uwe umeamua tu kujifurahisha.
 
Kiukweli ni kwamba Mwanza is the Largest as compared to Arusha. Jiji la Arusha limefata Barabara tu kuelekea Moshi. Juzi nilikuwa Arusha yaani hawa watu wapenda sifa tu Arusha bila ya majengo ya kiserikali hakuna kitu OVA.........
Acha ushambaaa we msukumaa
 
Unawasemea watu wa Mwanza wale waliogombania soda Air Port wakati wa ziara ya Mkulu.
 
Back
Top Bottom