Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

Kijana humu ni JF sio FB tafakari kabla hujaandika ujumbe wako,nani kakwambia Kahama ndo wilaya yenye kuingiza pato kuliko zote Tz? Kwa lipi? Inaizidi Ilala yenye Bandari? Nani kakwambia uwanja wa ndege wa Arusha ni mkubwa kuliko wa Mwanza? Usiropoke kijana,na Nani kakwambia mwanza Airport ina flight nyingi kuliko Kilimanjaro International Airport? Fikiri kabla ya kutenda usitake nidhibitishe mapema kwamba kila kwenye watanzania 4 kuna punguani 1.
Thibitisha umbururaa wako kuhusu kahama umemquote vibaya. Kuhusu route za ndege anazungumzia route za ndani and not internationl
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.

Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.

Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.

Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.

Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu
sijawahi ona post ya hovyo namna hii mwaka huu,
 
Weunayakoo sio buree
 
Thibitisha umbururaa wako kuhusu kahama umemquote vibaya. Kuhusu route za ndege anazungumzia route za ndani and not internationl
Hakuna sehemu aliyoonyesha kwamba anazungumzia routes za ndani ya nchi kwenye uzi wake.Hata hizo za ndani bado KIA ina ndege nyingi kuliko mwanza kama unabisha uje na uthibitisho.
 
Tatizo la wasukuma bwana ni UCHAWI, biashara zao ni full Giza. Mwanza ni sehemu yenye fulsa nyingi, madini+ziwa kifupi wamebarikiwa na Mungu, sasa huwezi kusema hakuna fulsa wakati wengine tunaona kuwa rofa Mwanza ni kupenda
 
Umekaririshwa vibaya
LABDA WEWE NDO UMEKARIRI (HOPE HUJUI HATA KIA IPO WAPI, AU HATA KUWAHI KUIONA/KUFIKA), MIMI NIMEISHI MWANZA 5 YRS, KILIMANJARO NDO NILIPOZALIWA NA KUKULIA HUKO, I KNOW AND USE BOTH AIRPORTS, SO YUO CAN TELL ME NOTHING ABOUT THAT.
 
Hakuna sehemu aliyoonyesha kwamba anazungumzia routes za ndani ya nchi kwenye uzi wake.Hata hizo za ndani bado KIA ina ndege nyingi kuliko mwanza kama unabisha uje na uthibitisho.
Wingi Wa wateja wanaotumia usafiri wa anga unapimwa na nauli ya sehemu husika
Wasafiri wakiwa wengi nauli inapungua and vice versa is true sasa nenda compare nauli za sehemu husika alaff urudi
 
This is illogical
 
nauli it is a matter of distance (though idadi ya abiria inachangia kwa % chache)
 
LABDA WEWE NDO UMEKARIRI (HOPE HUJUI HATA KIA IPO WAPI, AU HATA KUWAHI KUIONA/KUFIKA), MIMI NIMEISHI MWANZA 5 YRS, KILIMANJARO NDO NILIPOZALIWA NA KUKULIA HUKO, I KNOW AND USE BOTH AIRPORTS, SO YUO CAN TELL ME NOTHING ABOUT THAT.
Tatizo sio lako, tatizo ni mleta hoja kulinganisha Mwanza na ka manispaa kalikopata hadhi ya kuwa jiji mwaka 2010.
 
Bado Sikunaliani kwamba KWA Uchangiaji wa pato LA taifa Ukitoa DSM inafuata mwanza ungekuja kidogo Na data kila mkoa unachangia nini..Coz nikiangalia tu mikoa kama Iringa Shughuli za kiuchumi zinazofanyika ni nyingi kuliko Kwanza Sina data Na pato halisi mfano, Kilimo Biashara Nyanya, Vitunguu ,Chai ,Peasi ,alizeti ,Ufugaji, Mbao, Viwanda ,Utarii ,Vyuo Vikuu ,Madini ,Mpunga ,Peasi,Samaki Vyuo Vikuu nk nadi kuna Kipindi Serikali iliwahi kutangaza nimkoa ambao hamna wazurulaji watuwote wanajishughulisha KAZI ni nyingi Sana.
 
Back
Top Bottom