Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

Hizi pumba kawadanganye wasio jua takwimu za nchi Mwanza in mkoa wa 5 kwa itajiri Tz ambapo wa kwanza ni Dar alafu K'njaro ukifuatiwa Arusha alafu wa NNE Pwani,vgezo kipato cha MTU mmoja mmoja,miundo mbinu yani hospiyali,shule,na barabara na tatu uchangiaji kwenye pato LA taiga yani GDP
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.
Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.
Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.
Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu
Baada ya miaka mitano, jiji la Mwanza litakuwa ni Kitovu muhimu katika Ukanda wa Maziwa Makuu kKiuchumi .
 
Kijana humu ni JF sio FB tafakari kabla hujaandika ujumbe wako,nani kakwambia Kahama ndo wilaya yenye kuingiza pato kuliko zote Tz? Kwa lipi? Inaizidi Ilala yenye Bandari? Nani kakwambia uwanja wa ndege wa Arusha ni mkubwa kuliko wa Mwanza? Usiropoke kijana,na Nani kakwambia mwanza Airport ina flight nyingi kuliko Kilimanjaro International Airport? Fikiri kabla ya kutenda usitake nidhibitishe mapema kwamba kila kwenye watanzania 4 kuna punguani 1.
Nani kamwambia kahama ipo mwanza??
 
Kuna watu huwa wanaiona mwanza kama direct threat yao....wakisikia tu jiji la mwnza wanachukia mpak Bas....
Watu wa- Arusha tumetulia zetu ila mangosha mnaanzisha kila uchwao nyuzi kuhusu Arusha..

Mnatuita halafu mnalialia...

Mangosha bana..
 
Halafu ulinganisho mwingine ni matusi ya nguoni kwa wanajamii.
Hivi hiyo picha uliyoweka imekenua meno yaliyounguzwa na madini ya flouride ina-represent wakazi wa Mwanza? Maana yake ni nini? Hayo ni matusi.
Wenyeji wakaazi wanaolizunguka ziwa ie:Kagera,Mwanza na Mara hawana meno kabila hiyo. Wote wana "white dental".
Sasa kutuletea picha zisizokuwa na ulinganisho wa uhalisia ni uchokozi wa kukusudia.
Tutake radhi.
 
Hizi pumba kawadanganye wasio jua takwimu za nchi Mwanza in mkoa wa 5 kwa itajiri Tz ambapo wa kwanza ni Dar alafu K'njaro ukifuatiwa Arusha alafu wa NNE Pwani,vgezo kipato cha MTU mmoja mmoja,miundo mbinu yani hospiyali,shule,na barabara na tatu uchangiaji kwenye pato LA taiga yani GDP
Mkuu mbona unaandika kama "house girl"???? Andika vizuri.
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.
Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.
Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.
Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu
Karibu tena!
 
Ndiyo maana likaitwa jiji la pili kwa ukubwa na uchangiaji wa pato GDP. halina fursa nyingi sana kama yalivyo majiji mengine, taasisi na mashirika ya kijamii hayajawekeza kama yalivyo majiji mengine, hakuna kumbi za mikutano wala makao makuu ya taasisi yoyote kama yalivyo majiji mengine. Zaidi ya ziwa victoria hifadhi ya sanane hakuna kingine cha maana sana lakini ni jiji la pili. Tafasri za kiuchumi mwanza inatisha kwa kujiendeleza yenyewe.
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.

Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.

Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.

Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.

Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu

Walioiendeleza Mwanza sio Wasukuma, bali ni watu wa kuja, hasa Wahaya na Wachagga, nenda manispaa wakupe takwimu za biashara Mwanza uweze kuunganisha kwenye huo utafiti wako.
Ni kama ilivyo kwa Dar es Salaam na hata Arusha, walioendeleza hii miji sio wenyeji, wenyeji zaidi wanakimbia, wageni ndio wanamiliki biashara zaidi katika hii miji
 
Mambo yote rock city arusha wakalale watu warusha misifa 2 isiyo na mana
 
Watu wa- Arusha tumetulia zetu ila mangosha mnaanzisha kila uchwao nyuzi kuhusu Arusha..

Mnatuita halafu mnalialia...

Mangosha bana..
1476887944703.jpg
 
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa kuliko wilaya zote Tanzania na haina promotion ya serikali ni Kahama. Nimegundua kitu kimoja,watu wa Mwanza si walalamishi na wakujisifu bali ni wapiga kazi balaa na waaminifu sana,mikoa yao ukitoa Dar ndio inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa.

Mwanza hakuna makao makuu ya Taasisi yoyote ya Serikali au Umma km Arusha,lakini Bado mwanza ni Kinara. Mwanza haina uwanja mkubwa wa ndege km Arusha na Kilimanjaro (KIA) na Arusha Airport lakini ndio jiji lenye route nyingi za ndege zaidi kuliko mikoa mingine ukitoa Dar.

Mwanza haina maukumbi makubwa ya serikali na binafsi km Arusha,haina mbuga za wanyama wala vivutio vingi vya watalii lakini bado ndio jiji la pili kwa ukubwa.

Siri ya watu wa Mwanza ni wapiga kazi sana na siwalalamishi,hata ukimdhulum msukuma halalamiki,hana kesi na wewe ataondoka na kwenda kufanya kazi nyingine tu.Tatizo kubwa la hawa jamaa wanaoa sana,cha ajabu kila mtoto wa kila mke ni copy ya baba yao yaani wanafanana sana.

Hii inamaanisha jamaa wa kule ni wacheza shoo wazuri sana hawatumii pweza wala viagra km wanaume wa kule kwa akina Scorpion.
Juzi nilikua Mwanza,nimezunguka sehem zote muhimu
Kiukweli ni kwamba Mwanza is the Largest as compared to Arusha. Jiji la Arusha limefata Barabara tu kuelekea Moshi. Juzi nilikuwa Arusha yaani hawa watu wapenda sifa tu Arusha bila ya majengo ya kiserikali hakuna kitu OVA.........
 
Walioiendeleza Mwanza sio Wasukuma, bali ni watu wa kuja, hasa Wahaya na Wachagga, nenda manispaa wakupe takwimu za biashara Mwanza uweze kuunganisha kwenye huo utafiti wako.
Ni kama ilivyo kwa Dar es Salaam na hata Arusha, walioendeleza hii miji sio wenyeji, wenyeji zaidi wanakimbia, wageni ndio wanamiliki biashara zaidi katika hii miji
Umekariri kijana kamwe haiwezi tokea hatasiku moja
 
Back
Top Bottom