Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,701
- 35,775
Tatizo la wasukuma bwana ni UCHAWI, biashara zao ni full Giza. Mwanza ni sehemu yenye fulsa nyingi, madini+ziwa kifupi wamebarikiwa na Mungu, sasa huwezi kusema hakuna fulsa wakati wengine tunaona kuwa rofa Mwanza ni kupenda
Shida ni kuwa unaamini mwanza imejengwa na wasukuma!!!! mwanza hakuna fursa ya madini ya kuweza kupush mji.....hakuna utaliii, hata agriculture opportunity ni ndogo sana mana eneo kubwa ni semidesert ....uvuvi ndo fursa kubwa nayo ina changamoto kibao cse inahtaji trans boundary international agreement ili ilete manufaa mana nchi tatu zimeweka macho pale na ziwa lipo fixed....mji wa mwanza unakuwa kwa sababu ya biashara na sio kitu kingine even political affair hakuna mwanza ...!!! pia issue ya uchawi ipo pote kwa wafanya biashara Tanzania