Mbadala sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 280
- 139
kaka umekunywa nn wachaga sio watanzania au? point ni mji upi mkubwa kuliko mwingine. halafu hilo halina udhibitisho. kwa inchi yetu hakuna stastistics ya biashara kuuliza eti kabila gani wwe! unaama kabla ya kuja wachaga mwaka hapakuwa na watu ndio walikuja kuanzisha mjini au unajarbu kutuonyesha jinsi gani ulivyo na mawazo duni!! kajipange upya mkuu. halafu watu wakazikazin mlizoea mbeleko sana ya watu wenu waliotangulia kuingia kwenye govrt. enzi zile sasa na nyinyi vijana bado mnaamini eti kunamsukuma mjinga wa miaka ileee. huoo ni upuuuzi mtasubili sana kwa karne hii. ww utuambie hizo data za kwamba matajir wengi mwanza ni wachagga umezipata wapi?? hivyo hivyo hata huku utakuta wachagga wanadanganyana eti wameijenga waoo! huoo ni upuuzi data mnatoa wapi maana kwenye dodoso la sensa hakuna kitu kma hicho nyieeMwanza yote Wachagga ndo wamewekeza kule...Hakuna Mwanza bila Wachagga
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app