hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,314
- 80,187
hahaaa sio kweli mkuuNyie hata mtu anayepita tu, hamuonyeshi ukarimu.
Mnapenda sana ubinafsi
hilo unalosema pia linategemea baina ya watu na watu...hata huko kwenu pia kuna watu wanaroho mbaya pia...
nasema hili jambo nikiwa naushahidi wakutosha tyu