Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,212
Reaction score
20,363
Na huo ndo ukweli

Wanaroga vibaya sana

Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama

Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
 
Huwez kuthibitisha ila unaamini ilikuwa ndumba 😂

Hao hawakukunyoosha vzr, ilitakiwa wakuue kabisa
Sitarudi mbeya, wanakuchekea usoni na ni wapole sana ila kwenye uchawi...

Ndo maana makanisa kila kona
 
Labda wewe ndo ulikuwa mchawi .....( -energy )

Coz mbeya Kuna makanisa mengi (+energy
 
Back
Top Bottom