Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Mby ni moja ya mikoa yenye wasomi na watu wanaojitambua sana,wale ni wapiganaji halisi na si wazugaji Wa kujipendekeza na CCM Mbele kwa Mbele huku watanzania vijijini wanatembea peku bado kama majogoo miaka Zaidi ya hamsini ya uhuru
 
hahaha amevurjgikiwa ushauri huu afanyie nyumbani kwake na familia yake ..

mtu anaenda kucheza viduku wasimzomee kwann...

watu wanahitaji mabadiliko na si blah blah

Ningeshangaa msoffe uongee tofauti ulichosema.. Lazima utetee chama cha nyumbani.
 
Hakuna miji mikubwa ya wajanja wanawataka CCM. Hicho Chama kimebaki vijijini mahali hakuna umeme, simu, magazeti wala radio
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Pambaff. unafikiri siye ni M.A.T.A.K.O. kama nyie? sie haturembi. wala hatupelekeshwi na akili ndogo. Mbeya ni nchi huru kama hujui.mambo ya mbeya tuachie wana Mbeya
 
Kampeni za kistaarabu unazijua baada ya magufuli kuzomewa? Kuna makada wa huko kijani walipanda majukwaani na kuanza kubeza afya za watu hiyo wewe uliiona ni siasa ya kistaarabu!! Mjinga ww acha kupangia maisha! Siasa za kistaarabu zimekuletea nini mpaka leo hii?? Ukiuma jua na kupuliza, mambo ya doble standard usituletee hapa ndorobo we:confused::confused:
 
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.

kati ya ccm na hao vijana wa mbeya nani amedharirisha sana wazee?!! wazee kila siku wanadanganywa eti matibabu bure yako wapi? pensions zenyewe hizo za 50,000 kwa mwezi?!! ni wazee wangapi wanadai haki zao hadi leo wanahangaikia? leo ndio mnajifanya eti wanadharirishwa.
 
Kama Tu WABUNGE Wawili Mashuhuri Wa Hiyo Mikoa Miwili Uliyoitaja Hapo Ni WAVUTAJI BANGI WAZURI Mno Wewe Unategemea Nini Hapo Mkuu Kutoka Kwa Hao Wafuasi Wao Ambao Wengi Wao Ni POPOMA?

Nyie ni wapuuzi kweli yaani mpaka nawaonea huruma!! I bet mbongo zenu hazijawai kufunction toka mzariwe! Huwezi kuwa nabii wa siasa safi kama wewe unakuja huku na kuanza kutukana watu kwa siasa chafu, muosha huoshwa! Kajipangeni viraza.
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Yaani wew unafanana na jina lako... u sound frustrated and hate z ur energy...unasema fujo zilifanyika mbeya? Labda kwa kuzomewa Mgombea urais wa ccm tafsir yako ndio fujo,na hizo fujo zitaendelea sana tu sehem mbali mbali
 
Mbeya wamjai magufuri kwa kitu gani watu wanaendesha maisha yao kwa nguvu na vidii zao kila mtu ana kitu chake cha kufanya humkuti mwana mbeya amekaa kibarazani au yupo jukwaani anabinua binua matako mbeya wana haki ya kuzomea magufuli ana matusi sana
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Mkuu sasa naona unatafuta huruma kwa nguvu. Kwani kuna ubaya gani kumzomea mtu ambaye unaona sera na ahadi zake hazitekelezeki. Kuzomea, Kuimba, Kulia, Kucheza ni ishara au viwakilishi vya jambo fulani. Kwahiyo tuwape wana Mbeya uhuru wa kufikisha maudhui yao kwa Amani.
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Foolish
 
Back
Top Bottom