Watu wa jamii forums hamjui umuhimu wangu

Hahah umekuwa ATM ama nini mkuu? Maana ATM ikifa ndio kilio cha abuja, au unagawa papucci for free.
 
Usijihangaishi maana hata ukifa hatutafaidi chochote maybe kula makande tu
 
Afu unann kipenz,mbona unapenda kulalamika mno? Sijui kama nimesahau ila hii si mada yako ya kwanza kuonyesha u feel hupendwi
 
Hahahaaaaa

Kuanzia sasa wataujua
 
Usife mtoto mzuri. Mimi bado nakupenda sana
 
basi tutajitahidi tu kukuzika bila kuandika r.i.p usijali
 
Unakwama wapi?
 
Funguka basi kuhusu umuhimu wako ili tukupe standing O.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…