Watu wa jamii forums hamjui umuhimu wangu

Mie nakuchagulia moja kati ya hayo mawili....umevurugwa na maisha

Uzi wa utani kama huu kuweka userious unaotaka uwepo ni dalili tosha ya kwamba maisha yamekupiga

Pole
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mdau wetu anajua kila uzi ni wa kuchukuliwa kwa uzito.
 
Kufa tu. Wapo wataojaza nafasi yako.
Unalazimisha watu waone umuhim wako kama kiongoz mmoja wa kanda ya ziwa..?
Acha watu wakukubali wenyewe.
 
Kufa tu. Wapo wataojaza nafasi yako.
Unalazimisha watu waone umuhim wako kama kiongoz mmoja wa kanda ya ziwa..?
Acha watu wakukubali wenyewe.

Huyo kiongozi wa kanda ya ziwa unamanisha stoni?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† watu mmevurugwa
 
mimi nauona sana umuhimu wako ila sema tunakuwa vice versa,unaotaka auone umuhimu wako hataki ila mimi niliouona hunioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…