my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufa basi tuone kama ni kweli
Unakwama wapi?[emoji1]Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki nitajifanya kama sisikii au sioni huku nawa angalia tu mna vyo ji nafikisha
We utakuwa marehemu mbea! Kwamba umekufa then uone post zetu!?[emoji848][emoji848][emoji848]Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki nitajifanya kama sisikii au sioni huku nawa angalia tu mna vyo ji nafikisha
Kufa basi tuone kama ni kweli
umuhimu wa fake id au?.........
tehteh[emoji28] labda wanatamani ufe[emoji28] kwa maana hauna umuhimu wowote,,,,,
ukiwa fossil wataona umuhimu wako,,,,
Ukifa useme tufute id yako ili usitujazie serve zetu.
UNGEKUFA KWANZA MKUU ILI TUUONE HUO UMUHIMU
Hizi comment zinaonesha namna gani watu wamevurugwa na maisha, au ubinafsi watanzania walio naoWakiujua umuhimu wako inakuongezea nini
Ki vipi mkuu,mbona umekata tamaa?
Ninyi walau mmekuwa waungwanaSi tunakupenda mbna! Haya tulia mrembo
Hafadhari yako analyser mana umewagroup kama grouped data.Ninyi walau mmekuwa waungwana
Umevuta ya sh. ngap mkuu mbona inakuendesha hivyo.Watu wa humu hamjui umuhimu wangu hasa hapa mmu mpka siku nikifa ndio mtaanza kujua halafu mtakuwa m mechelewa kwa sababu nitakuwa nimeshakufa. Halafu muanze kuandika rip zenu za unafiki nitajifanya kama sisikii au sioni huku nawa angalia tu mna vyo ji nafikisha