MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,535
- 21,846
Hamafasta.com , tayari ipo online ina karibia kufikisha mwezi mmoja tangu iende hewani, tupo katika mchakato wa kufanya maboresho zaidi na kuongeza idara.
Idea tulichukua hii hii ya ndugu balimar ,
Kwa muda mfupi tangu iende hewani tumeona imeleta positive feedback kutoka kwa waalimu, now tupo katika mchakato wa kuitangaza zaidi, kufikia sasa wamejisajili zaidi ya waalimu 500 na zaidi ya nusu wamefanikiwa kupata wa kubadilishana nao vituo.
Asante sana ndugu balimar tunapokea ushauri kutoka kwa wadau pia.