ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
NullPointer this is probably how it should go:
Mfanyakazi wa serikali (mwalimu for example) anapotaka kuhamishwa kituo cha kazi kwa kubadilishana na mwingine anasubmit taarifa zake (current location, work position, desired locations, contact info e.t.c).
Kazi ya hiyo system ni kufanya matchmaking. Inamwambia mtu A kuwa kuna mtu B ambaye yuko sehemu unayotaka kwenda na mnafanya similar jobs ambaye pia anataka kuja mahali ulipo. Na mtu B pia anakuwa notified kwamba kuna elligible exchange peer.
Watacontact each other (someone can only see your contacts if you authorize them) na wakikubaliana, basi wanafuata procedures za serikali kubadilishana vituo vya kazi.
Wakifanikiwa, they are removed from the system. The more people who join the more likely it is to find a match.
Excellent idea, from the basic flow two weeks of programmer time are sufficient to bring the web app online.