wamekufanya nini niambie mamii...Sina mengi ya kusema.
Ila muda ukifika nitawajibu.
Ila ushauri wangu ni kwamba msiuvunje mtu moyo. Bora mnitegue kiuno
Niambie mimi nawamudu hawa...Acha tu.
PoleehSina mengi ya kusema.
Ila muda ukifika nitawajibu.
Ila ushauri wangu ni kwamba msiuvunje mtu moyo. Bora mnitegue kiuno
Unataka kunigonganishia magari wewe!, kama unawaita hao we pambana tu na mambo yako! wana jf endeeleni kumtekenya huyu...😂
Mbona wewooo...🤔
😜😜😜😜😜Ndo ukome siku nyingine uwe na kumbukumbu,.
Huyo Lee na Demi hawana kosa lolote sema tu we mwenyewe ulishindwa kutunza mafaili ya uongo wako