Watu wa humu JF nimewanyooshea mkono

Watu wa humu JF nimewanyooshea mkono

Wala sio dhambi,.
Shida stories zako haziendani
Tukirefer ule wa mwanzo ulikua unatafuta kazi sijui vyeti fake na nini nini?,. After a week nafikiri ulikuja tena ukasema umepata mume na kazi kupitia ule uzi wako,.
Leo tena umekuja na mpya unaishi uchumba for 11years..hapo ndio umewachanganya watu

Ila usijali mie nakuelewa big ciccy👭👭
Sawa.
Uwe na wakati mwema
 
Grave diggers wako makini sana maana siku ya kuzika walinyimwa chakula.
Ukiandika uzi kumbuka kuficha sindano, tukiipata utatobolewa vibaya!
 
Sina mengi ya kusema.

Ila muda ukifika nitawajibu.

Ila ushauri wangu ni kwamba msiuvunje mtu moyo. Bora mnitegue kiuno
Hakuna aliyekuvunja moyo.
Ukiomba ushauri kumbuka mkasa wa nyuma ulituambia nini. Mtiririko uwe wa kueleweka utapata ushauri wa maana. Humu jf kuna watu wazuri sana kama tu utakuwa mkweli. Punguza chai
 
Sina mengi ya kusema.

Ila muda ukifika nitawajibu.

Ila ushauri wangu ni kwamba msiuvunje mtu moyo. Bora mnitegue kiuno
Moyo wako uulete kwa wana jf kwa ajili ya nn kama sio kuvunjwa na kuraruriwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom