Usiku na mchana, nimefanya bidii kuwagawia chakula cha uzima. Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia ili niwe shahidi wa Yesu Kristo katika maeneo hayo pia (Matendo 1:8).
Tuzidi kuombeana ili Yesu akija atunyakue sote, asiwepo hata mmoja...