Watu wa dini chukueni credit kwa Corona!

VATICAN HUKO.
wanakufa balaa.
Lakini KIMYA KIMYA
Umeanza udini,OK km unataka kulipeleka kihivyo nenda Iran kawaulize wanaokufa dini gani,

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200313-203609.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu maeneo yanayojifanya yana dini sana ndo watu wanakufa balaa.

Satellite za CNN zimegundua Iran inapanua maeneo ya makaburi kisa vifo kuongezeka! Aeatolah kalala tu hamuiti Allah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran kuna watu wehu walikuwa wanalambalamba ovyo sehemu zao za hija, wanasema wanamuamini Allah hawawezi kupata Coronavirus.

Nikasema hawa ndio wanaamini kweli, sio unamuamini Allah halafu unaogopa Coronavirus.
 
Sasa wewe inakuuma nini? Kufeli kwako masomo ya unabii Sasa imegeuka nongwa? Ungefaulu hayo masomo ungekuwa na hiyo nguvu ya kusambaratisha Corona viruses? Punguza nongwa mtoto wa kiume hawi na roho mbaya. Harafu masheikh hawana hayo mahubiri ya kilokole.
Mahubiri ya kilokole yapoje ?
 
Umejuaje Mungu unayemuamini ni Mungu sahihi uliyepaswa kumuamini ?
Kuhakiki usahihi si kazi yangu. Ninachojua kuna Mungu wanaamini yupo na wanamwomba. Na mm yupo MUNGU ninae mwamini. Ww kuamini uhalali wake si tatizo kwangu, hoja hapa ni imani juu ya uwepo wa MUNGU na si MUNGU wa imani ipi ni sahihi. Usahihi wa imani ni mada ngumu, hatutaelewana hapa.
 
Back
Top Bottom