Watu wa dini chukueni credit kwa Corona!

Iran ni taifa la kiislam ila sio wote ni waislam.
sasa ili tujue waliokufa kwa corona iran.
Inatakiwa itolewe takwimu kwamba ni waislam kadhaa ndo wamekufa.
Lakini pia usisahau Italy inashika nafasi ya pili kufa kwa corona.baada ya china.
Lakini HAUSIKII CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI WAKITANGAZA.
Watu 600 ni wengi sanaView attachment 1387599

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran mpk jana 416 waliokuwa reported, bado hidden data!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Mdau unaweza kumsoma Mungu kama kitabu.
Mbona uulizi uwepo(sababu ya uwepo wa Corona) what if Mungu kaleta Corona kwa makusudi yake unaulizia dawa kwake ili iweje..?

Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo, kitu ambacho kwa Mungu kifo si chochote zaidi ya kuona ni kijiadhabu ambacho Mungu aliona atupatie baada ya kumkosea adabu kwa kukosa nidhamu na utii kama ambavyo wewe unaweza kumdhibu mwanao wa miaka 5.

Kwake Mungu haoni Corona kama jambo kubwa sana yumkini anapanga kuitumia kama funzo kwa binaadamu vichwa maji na waliojaa mashaka juu yake.

Mungu haitaji kujidhihirisha kwa kutatua matatizo ambayo tumeyaeleta sisi na hata akiamua kujidhihirisha si kadri sisi tupendavyo inaweza ikawa kwa sura na tafsiri tusiyotegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu maeneo yanayojifanya yana dini sana ndo watu wanakufa balaa.

Satellite za CNN zimegundua Iran inapanua maeneo ya makaburi kisa vifo kuongezeka! Aeatolah kalala tu hamuiti Allah!

Sent using Jamii Forums mobile app
unawasha na makalio usipo kashifu dini? mbona papa anatoa mahubiri kwa video na yeye hana Mungu? mda mwingine ukiona unawashwa jitie gunzi kuliko kukashifu dini

We jamaa umedandia mamba mdomoni, soma mjadala vzr ndo ujibu comments. Who told you I am after any petty religion? U might be having gynecomastia pimping!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo
Jumong S,
Umeandika kitu kizuri sana. Halafu wafia dini wote wapo kimya ; Our scientists ndio wana struggle kupata tiba na namna ya kujikinga na hili Gonjwa. Nchi nyingi wameshaanza kutokwenda makanisani na misikitini. It scares.

Huyu kirusi si akemewe tu In Jesus name jamani.
Ndio utagundua kuwa wengi wa waponyaji hawa ni wasanii wazuri sana. Vinginevyo, si waende tu mahospitalini na kuwaponya wagonjwa?
 
IMG_1456.JPG
 
Mbona uulizi uwepo(sababu ya uwepo wa Corona) what if Mungu kaleta Corona kwa makusudi yake unaulizia dawa kwake ili iweje..?

Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo, kitu ambacho kwa Mungu kifo si chochote zaidi ya kuona ni kijiadhabu ambacho Mungu aliona atupatie baada ya kumkosea adabu kwa kukosa nidhamu na utii kama ambavyo wewe unaweza kumdhibu mwanao wa miaka 5.

Kwake Mungu haoni Corona kama jambo kubwa sana yumkini anapanga kuitumia kama funzo kwa binaadamu vichwa maji na waliojaa mashaka juu yake.

Mungu haitaji kujidhihirisha kwa kutatua matatizo ambayo tumeyaeleta sisi na hata akiamua kujidhihirisha si kadri sisi tupendavyo inaweza ikawa kwa sura na tafsiri tusiyotegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina nafasi yake sijui kwanini tunapenda kulinganisha na kushindanisha dini na sayansi? Kuna matatizo ambayo hutatuliwa hospitali na matatizo mengine hutatuliwa na watu wa dini kwa imani zao huoni kwenda hospitali. Tatizo mtu akianza kushindanisha dini na sayansi huwa namshangaa kwa sababu hao madoctor na wanasayansi nao wapo ambao ni waumini wa dini.
 
Haya sasa janga hiloo!

Ni miaka mingi watu wa dini wanajinasibu kuwa na super power! Mitume, manabii, wainjilisti, mashehe na majini yenu, maaskofu, wachungaji na mapadre hapa ndio mahali pa kuonesha umwamba wenu. Kemeeni haka kakirusi kasepe, dunia iwaamini. Prove it beyond science, sio kuwaachia wataalam wa afya tu!

Makka kwenye Al kaaba sio pa kufunga au kuzuia watu kuja kuhiji, pafunguliwe tu watu waje kupata miujiza. Wachungaji, nendeni hospitalini tena bila barakoa mkawaombee watu wapone!

Msikimbie, nyie sio waoga!!!!

NB: Fuata kanuni za afya kuepuka CORONA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwake Yesu yote yanawezekana ,ugonjwa bado haujaingia TZ ,ukiingia niambieni nianze kutoa mafuta ya upako!
 
Back
Top Bottom