Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,459
- 2,140
Duh! wamenyuti wanasoma upepo.dawa ikipatikana ndio watajitikeza kukemea mixer na dawa mtu anapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli tu kama wenzakeNgoja mzee wa Mafuta Mwamposa aseme lini tukayakanyage ili kuondoa Corona
Wanakera sanaDuh!wamenyuti wanasoma upepo.dawa ikipatikana ndio watajitikeza kukemea mixer na dawa mtu anapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo huku hospitali tuna trainings za kukabiliana na Corona!Sasa wewe inakuuma nini? Kufeli kwako masomo ya unabii Sasa imegeuka nongwa? Ungefaulu hayo masomo ungekuwa na hiyo nguvu ya kusambaratisha Corona viruses? Punguza nongwa mtoto wa kiume hawi na roho mbaya. Harafu masheikh hawana hayo mahubiri ya kilokole.
Kwahiyo unataka kusema mashekhe hawatoweza kuumwa Corona ?
Sasa kuwa daktari au muuguzi inakuzuia nini kushika dini? Umeoa/kuolewa? Umefuata utaratibu gani katika ndoa yako? Au mlijifungia tu wodini mkachukua sindano za kwinini ndo Basi mkawa Bibi na bwana.
Iran imebidi kuomba mkopo kwa mara ya kwanza IMF tangia mwaka 1962, ujue mashehe wote huko Iran wameona hii ni noma, Pia nchi za Saudia, Qatar, Jordna etc ambao ni waislam tupu nako hali ni mbaya
Aliepewa dhamana ya kuwafundisha watu dini moja ya mafundisho yake ni hiyo hatua iliochukuliwa Makka, uislam ni mfumo wa maisha kabisa, ili dini iitwe dini lazima iendane na maisha ya watu.Ndo dini inapofeli, wkt Makka watu wamepigwa pini hakuna kwenda kuhiji while ndo Allah anapitaradadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuwa daktari au muuguzi inakuzuia nini kushika dini? Umeoa/kuolewa? Umefuata utaratibu gani katika ndoa yako? Au mlijifungia tu wodini mkachukua sindano za kwinini ndo Basi mkawa Bibi na bwana.
Nani kakuambia mie ni Daktari au muuguzi?Sasa kuwa daktari au muuguzi inakuzuia nini kushika dini? Umeoa/kuolewa? Umefuata utaratibu gani katika ndoa yako? Au mlijifungia tu wodini mkachukua sindano za kwinini ndo Basi mkawa Bibi na bwana.
Ha ha haaaa. Kuna jamaa yako anasema waislam hawataugua Corona.Aliepewa dhamana ya kuwafundisha watu dini moja ya mafundisho yake ni hio hatua iliochukuliwa Makka, uislam ni mfumo wa maisha kabisa,ili dini iitwe dini lazma iendane na maisha ya watu.
Na Allah ndie aliewaambia waumini wachukue tahadhari.
Usiandike vitu kwa hisia na just kutaka umaarufu tu, utaonekana kituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wa serikali wa kuwaje? Kwanini usifuate utaratibu wa kisayansi.Mimi nimefuata utaratibu wa serikali.
Dini haijafeli, bado dunia haijafikia hapo mkuu. Madaktari wanaopambana na wagonjwa wa corona watakuwa wanasali isiwapate. Mama, baba na ndugu zao wanasali wawe salama.Ndo dini inapofeli, wkt Makka watu wamepigwa pini hakuna kwenda kuhiji while ndo Allah anapitaradadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaomba ila wanakufaDini haijafeli, bado dunia haijafikia hapo mkuu. Madaktari wanaopambana na wagonjwa wa corona watakuwa wanasali isiwapate. Mama, baba na ndugu zao wanasali wawe salama. Trust me, ukipata tatizo la kiafya utaombewa sana tu. Inawezekana hata utakapokufa watu wakakuombea huko uendako. Dini ipo, na ipo active sana.
Ha ha haaaa. Kuna jamaa yako anasema waislam hawataugua Corona.
Sasa Allah anaahirishaje shughuri yake ya Hija kwa kuogopa Corona? Au hakuiumba Corona?
Sent using Jamii Forums mobile app