Watu wa dini chukueni credit kwa Corona!

Fanya hivi,jifanye una korona,nenda kea ngwajima au yule jamaa mwenye mafuta ya kukanyagiamo,mwamposa,mwambie umetoka Wuhan na unasikia kifua kinauma,msogelee na ukohoe kwa nguvu,uone Kama hajatoka baruti
 
Sio kwamba hauna hoja.
Sasa unatafuta jinsi ya kujilinda?
ni kitu rahisi tu.
Sema waislam ni wangapi wamekufa kwa CORONA.
HAUJUI sema SIJUI.
hayo mengine uliyoandika ni UPUUZI
Naogopa nikipinga kwa hoja dhidi yako.. nitawekwa katika kundi la watu ambao ni Non educated...

Kwa hyo ni bora ninyamaze, siwezi bishana kwa hoja kwa mtu ambae huwezo wake wa kufikiria ni finyu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran ni taifa la kiislam ila sio wote ni waislam.
sasa ili tujue waliokufa kwa corona iran.
Inatakiwa itolewe takwimu kwamba ni waislam kadhaa ndo wamekufa.
Lakini pia usisahau Italy inashika nafasi ya pili kufa kwa corona.baada ya china.
Lakini HAUSIKII CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI WAKITANGAZA.
Watu 600 ni wengi sana
Ok , Sasa ww umejuaje Kama hao wairan sio waislamu ? , Let's be serious bro
Screenshot_20200313-203609.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi jamaa yangu Ni mchungaji,Ana mawazo Sana,hii corona ikifika,na mikusanyiko ikazuiwa,chanzo chake Cha mapato kitaadhirika,
Sasa hivi anaomba nimshauri afanye biashara gani maana Hali itakuwa ngumu sana
 
Jumong S, Mungu hawezi kuthibitishwa na uwepo au kutokuwepo kwa ugonjwa wa Corona.

Ata kifo chenyewe hakitoshi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu.

Maana maandiko yanasema wazi kuna watu vifo havikuwa kitu kwao mfano HENOKO mwanzo 5:1... hakuonja hayo mauti, pia Elia ila mwisho wa yote MWAMBA JESUS KRISTO, yeye kashuka kuzimu na kurudi kishujaa kabisa.

Mwisho tangia leo, ujue kabisa Mungu anayehubiriwa si Mungu miili na mambo yanayoambatana na hofu za kimwili maana kwa walio wake wanahofu ya kufa kiroho na si kimwili.

Utambue pia watu zaidi ya 170k ila vifo ata elfu 10000 bado kwanini usijiulize kila anayepata alitakiwa kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya corona iko wapi mzee

Au Bwana Mungu anatujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya corona iko wapi mzee

Au Bwana Mungu anatujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona uulizi uwepo(sababu ya uwepo wa Corona) what if Mungu kaleta Corona kwa makusudi yake unaulizia dawa kwake ili iweje..?

Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo, kitu ambacho kwa Mungu kifo si chochote zaidi ya kuona ni kijiadhabu ambacho Mungu aliona atupatie baada ya kumkosea adabu kwa kukosa nidhamu na utii kama ambavyo wewe unaweza kumdhibu mwanao wa miaka 5.

Kwake Mungu haoni Corona kama jambo kubwa sana yumkini anapanga kuitumia kama funzo kwa binaadamu vichwa maji na waliojaa mashaka juu yake.

Mungu haitaji kujidhihirisha kwa kutatua matatizo ambayo tumeyaeleta sisi na hata akiamua kujidhihirisha si kadri sisi tupendavyo inaweza ikawa kwa sura na tafsiri tusiyotegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hivi,jifanye una korona,nenda kea ngwajima au yule jamaa mwenye mafuta ya kukanyagiamo,mwamposa,mwambie umetoka Wuhan na unasikia kifua kinauma,msogelee na ukohoe kwa nguvu,uone Kama hajatoka baruti
Ha ha haaaa. Hapo kanisa zima watapigia breki Kibada Kigamboni!!! Mbio za Hussein Bolt hazitafua dafu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom