Watu wa Dar

cqq

Member
Apr 23, 2017
39
57
Watu wa dar bwana,,,,,,,, kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaana kaka ukija usiachie kunitafuta

Ukifika ukimpigia kwanza anakuuliza uko wapiunamwambia nipo Kawe,,,,,,,,,, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakucheki kesho ndo hutampata hewani tena

Ukimpigia sim kumwambia kesho nasepa utasikia mbona fasta kaka sema umekuja bahati mbaya sasahivi nipo taiti,,,,,,,, yaaani wote sound zao ni hizo hizo utazani mwalimu wao mmoja

Halafu wao wakija huku wanapopaita mkoani anataka uwe nyuma yake masaa 24/7 mtadhani mnatafuta wadhamini stori zake sasa

Huku mkoani mnaishije hamna mzunguko wa hela kabisa *** nyoo dar ungekua wote mnamzunguuko wa pesa si wote mngekuwa kama baressa,,,,, acheni hizo bhana mnatukera sisi watu wakuja
 
Kweli hii imewahi kumtokea msela angu mmoja..

Jamaa yupo daslam latika kuchat na msela yupo moshi basi akamwambia njoo dar acha kukaa kiboya huko. Jamaa akawa hana nauli ila akajipiga piga kwa kufanya vibarua akapata nauli akawasiliana na mshkaji akamwambia 'nakuja' jamaa nae akajibu 'poa nitakupokea ubungo' mshkaji akiwa njiani anampa updates tu kuwa niko sehemu flani

Kufika ubungo basi hata simu ya mwenyeji ilikuwa haipatikani, wasamaria wakamsaidia pakulala, kesho yake nayo hola, basi akafanyiwa usamaria akarudi kwao moshi.

Ewe mtu wa mkoani asikudanganye mtu ambae hana kazi rasmi akudanganye njoo dar wakati na wewe hupajui wala huna option B na C. Utaghafirika
 
Watu wa dar bwana,,,,,,,, kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaana kaka ukija usiachie kunitafuta

Ukifika ukimpigia kwanza anakuuliza uko wapiunamwambia nipo Kawe,,,,,,,,,, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakucheki kesho ndo hutampata hewani tena

Ukimpigia sim kumwambia kesho nasepa utasikia mbona fasta kaka sema umekuja bahati mbaya sasahivi nipo taiti,,,,,,,, yaaani wote sound zao ni hizo hizo utazani mwalimu wao mmoja

Halafu wao wakija huku wanapopaita mkoani anataka uwe nyuma yake masaa 24/7 mtadhani mnatafuta wadhamini stori zake sasa

Huku mkoani mnaishije hamna mzunguko wa hela kabisa *** nyoo dar ungekua wote mnamzunguuko wa pesa si wote mngekuwa kama baressa,,,,, acheni hizo bhana mnatukera sisi watu wakuja
Baressa
Bakhresa
 
Umesema mulemule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenikumbusha nikiwa form 2,ndugu wa Dar akaja kijijini akaomba matokeo yangu akakuta nipo position ya 3 kati ya watu 130. akajifanya sponsor likizo ijayo aje Dar tuisheni msimpe nauli ya kurudia.
manina tuisheni sikusoma na nauli ilibidi nikaombe kwa ndugu mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom