Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.

chuma kimesema kinaendelea na mikutano Mlandizi usiku huu huu.

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
Usisahau kutuletea mrejesho wa hicho chuma chako😂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hapo unamuuliza nani?

Nadhani ile tu kuzuiwa masaa 8 bila hata nzi kujitokeza kumpa saport, Lisu atakuwa amepata ujumbe mkubwa sana toka kwa watz
Kama hakuna hata nzi aliyejitokeza Kwa nini mmemuachia,??
 
Nichokubali kitu kimoja sisi watu wa dar ni Very Smart sana.
Tunatetea kitu chenye Maslahi either binafsi ,Mkoa au Nchi kwa Ujumla.

Mfano: Ile kero ya foleni ya ubungo before ujenzi wa hizi barabara za juu inafika mahali inasababisha ugomvi makazini sababu ya kuchelewa(asubuhi)..Jioni tena wakati wa kurudi wife nyambani hakuelewi.

Lakini kwa sasa hili kero haipo tena..tunapita tu(unasave time ya kufanya mambo mengine).

Kwa mfano tu huo..Anatokea mtu anakuambia maendeleo ya vitu ni upuuzi..I swear hata ukianguka barabarani mbele yangu nitakuokota kama binadamu mwenzangutu ,sio kama mgombea wa urais.

Na Mengine Mengi.
 
Leo kuna somo muhimu sana la kujifunza kuhusu watanzania kwa lisu na chadema,

Halafu hata wale kina mama wa tweeter wanaharakati wameshindwa kwenda eneo la tukio nao kelele mitandaoni tuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hapo unamuuliza nani?

Nadhani ile tu kuzuiwa masaa 8 bila hata nzi kujitokeza kumpa saport, Lisu atakuwa amepata ujumbe mkubwa sana toka kwa watz
😂😂😂 Nadhani atakuwa kaipatia jibu Ile kauli yake ya kuingiza watu barabarani.
Support ataipata mitandaoni kwenye dunia yao tofauti na hiku uraiani.

NB;Huu uzi ni mchungu Sana kwa wana CHADEMA,watu wameanza kuuriport,nadhani hautachelewa kufungiwa.
 
Kama hakuna hata nzi aliyejitokeza Kwa nini mmemuachia,??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yanini kusumbuana na mtu ambae hana hata sapot ya watu?

Lisu kama ana akili aitumie hii kama somo kwamba watz si wajinga.

Ile kauli yake kwamba ataingiza watu narabarani aache kuitumia maana haina mashiko tena
 
Mnazidi kujidhalilisha kuwa hamuwezi kumkabili Lissu si kwa akili, upeo na hata uelewa!! Kitendo cha kuufyata tu ni ushahidi tosha!!
Nadhani atakuwa amejifunza kuwa swala la kuingiza wtz barabarani sio simple Kama alivyokuwa anajiaminisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nadhani atakuwa kaipatia jibu Ile kauli yake ya kuingiza watu barabarani.
Support ataipata mitandaoni kwenye dunia yao tofauti na hiku uraiani.

NB;Huu uzi ni mchungu Sana kwa wana CHADEMA,watu wameanza kuuriport,nadhani hautachelewa kufungiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu Lisu hawajui watz vizuri! Amuulize Mange
 
Dar kuna wanaume sasa. Hao akina Kumbukwa sijui ndio wanaume wanakimbia mpaka Panya Road. Dar kuna warembo tu.
 
Watampigia soon,
Alishindwa Nyerere aliyetumia akili ye ndo ataweza huku hata politics za dunia tu hazijui hana rafiki duniani zaidi ya burundi.
😂😂😂 Wewe wasema.
 
Back
Top Bottom