Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Nakuonea huruma sana mwana CCM wewe!! Maana leo Lissu anaonesha mfano wa kipekee na kukitanabaisha Kama alama kuu ya haki na uhuru katika nchi hii!!

Kitendo ya Lissu kukesha na maaskari Leo sio tu kampeni kwake ila ni jambo linaloenda kumuweka katika heshima ya kipekee kabisa kwa watanzania!!
Mahtma Ghandi aligoma kura akitetea haki na kweli pamoja na kuvaa mashuk alikuja kuwa Waziri Mkuu wa India. Kitu alichofanya Lissu leo kimewai fanyw na watu wachache sana duniani na hao watu ni alama kubwa katika historia ya dunia!!
 
mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.

chuma kimesema kinaendelea na mikutano Mlandizi usiku huu huu.

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anahutubia miti huu usiku? Akipigwa mawe asilaumu mtu.
 
Nakuonea huruma sana mwana ccm wewe!! Maana leo Lissu anaonesha mfano wa kipekee na kukitanabaisha Kama alama kuu ya haki na uhuru katika nchi hii!!

Kitendo ya Lissu kukesha na maaskari Leo sio tu kampeni kwake ila ni jambo linaloenda kumuweka katika heshima ya kipekee kabisa kwa watanzania!!
Mahtma Ghandi aligoma kura akitetea haki na kweli pamoja na kuvaa mashuk alikuja kuwa Waziri Mkuu wa India. Kitu alichofanya Lissu leo kimewai fanyw na watu wachache sana duniani na hao watu ni alama kubwa katika historia ya dunia!!
Lisu ni debe tupu!

Hivi mnakinukishaga humu jf tu kumbe ee?
 
Giza halitaishinda nuru hata siku moja. Wakoloni weusi kuna siku watatoka na nchi itapata uhuru wa kweli. Tuombe uzima haya yatokee tukiwa hai.
 
Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa
upinzani uliaminiwa na watu wa dar wakapewa halmashauri mpaka na jiji,walichokinfanya Mungu anajua
kama safari hii upinzani ukipata hata madiwani wawili,wakachinje jogoo
 
Mkuu jimbo pekee mlilobaki nalo hapa dar ni kawe pekee nayo mjiandae kisaikolojia.

Kama hiyo ukonga ndio kabisa
kaka. dar es salaam mchana kubwa usiku ndogo. tulia uone shoo. watu wa dar hatujawahi kuwa mafala.
 
Habari wana JF,

Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake.
Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.

Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.

Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?

Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.

Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Sio wa Dar tu inaelekea wewe na huyo jamaa yenu hamuwajui watanzania vizuri, yaani waache mambo yao ya maana wawafuate wanasiasa [emoji3][emoji3], unafikiri lolote litalokupata hapo huyo mgombea wako ataacha kampeni zake akufuatilie wewe, nadhani hujamsikia jamaa alifungwa Kigoma kwa vurugu zilizotokea kwa Kaburu (rip) wakati huo yupo NCCR Mageuzi baada ya kumaliza kifungo kamkuta Kaburu ni mwenyekiti wa CCM [emoji3][emoji3] kabaki analalamika kwamba Kaburi hakumtendea haki na wala hakufika hata kumuona gerezani. Lawama zako hazima mashiko
 
anataka apigwe usiku ili arushe picha kwa amsterdam
 
Back
Top Bottom