Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yanini kusumbuana na mtu ambae hana hata sapot ya watu?

Lisu kama ana akili aitumie hii kama somo kwamba watz si wajinga.

Ile kauli yake kwamba ataingiza watu narabarani aache kuitumia maana haina mashiko tena
Hana support ya watu kivipi??? Mbona lilikuwepo kundi la watu waliokuwa wakiimba hadi usiku??? Lissu alikuwa peke yake???
 
kwahiyo RPC kumbe mlaini tu mikwara kibao kumbe mwepesi Kama toilet paper
Mkuuu mie nilitegemea mngeenda kukinukisha pale kuanzia ile saa 5 asubuhi na kumpitisha Lisu kwa nguvu ya uma mnayotambaga nayo humu. Lkini kitendo cha polisi kukaa na Lisu mpaka kumuachia kwa hiari yao, nisione bavicha yeyote anatoa mkwara wake wa kindezi humu
 
Nadhani atakuwa amejifunza kuwa swala la kuingiza wtz barabarani sio simple Kama alivyokuwa anajiaminisha.
Kivipi??? Mbona Lissu amekuwa na support ya watu hadi usiku huu pale polisi wenu waliposanda???
 
Mkuuu mie nilitegemea mngeenda kukinukisha pale kuanzia ile saa 5 asubuhi na kumpitisha Lisu kwa nguvu ya uma mnayotambaga nayo humu. Lkini kitendo cha polisi kukaa na Lisu mpaka kumuachia kwa hiari yao, nisione bavicha yeyote anatoa mkwara wake wa kindezi humu
Nani kakwambia Chadema ni watu wa kikunukisha??? Hujamsikia Lissu akisema watasubiri na kukesha kwa sababu hawana risasi wala mabomu ya kupambana nao??
 
polisi wameshindwa kupiga mabomu waliokusanyika kinyume na amri yao?nimeona hadi watu wanaimba?
 
Habari wana JF,

Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake.
Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.

Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.

Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?

Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.

Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Kuwategemea vijana wa dar ni kupoteza muda wako , hao wanacho weza hasa hasa ni kupaka poda na kulamba midomo na kupaka lipshiner
 
Watu wa dar si umeshayaona majibu yake police wameogopa nyomi la watu lililoanza kujaa
 
.
20201006_215843.jpg
 
Si walisema kukesha ni kazi yao??? Kiko wapi???
Hata wangekesha, hakuna ambacho kingebadilika,na sioni msingi wa hoja yenu kuwa police wamemuogopa Lissu, kwa kipi kilichowafanya wamuogope,ikiwa muda wote wamekaa nae na hakuna chochote alichokifanya?
 
Habari wana JF,

Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake.
Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.

Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.

Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?

Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.

Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Snitch Kakojoe ulale
 
Back
Top Bottom