njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
alaaa hivi amri halali ya kutokusanyika inaanziga watu wangapi?Mkuu watu hawazidi 20 unapiga bomu?
alaaa hivi amri halali ya kutokusanyika inaanziga watu wangapi?Mkuu watu hawazidi 20 unapiga bomu?
RPC wa Pwani kesho atatenguliwa na John. Haiwezekani ana mabomu, bunduki na pingu lkn anawaacha watu wanachezea sharubu?polisi wameshindwa kupiga mabomu waliokusanyika kinyume na amri yao?nimeona hadi watu wanaimba?
Muulize mtoa postJambo gani haliwekezekani?
🤣🤣🤣🤣🤣 Siyo kila kitu kukinukisha lazima tuweke akiba ya nguvu, akili, maaamzi maana lipo Jambo kubwa linakuja kupiga kura, kulinda na kufanya maamzi kwa wezi was kuraMkuuu mie nilitegemea mngeenda kukinukisha pale kuanzia ile saa 5 asubuhi na kumpitisha Lisu kwa nguvu ya uma mnayotambaga nayo humu. Lkini kitendo cha polisi kukaa na Lisu mpaka kumuachia kwa hiari yao, nisione bavicha yeyote anatoa mkwara wake wa kindezi humu
🤣🤣🤣🤣🤣 Lakini hasusi mtu hapa mpaka kieleweke na watajua Kama hawajuiWatazuiliwa tena mbele ya safari,wacha akalale kwanza.
Giza = CHADEMAGiza halitaishinda nuru hata siku moja. Wakoloni weusi kuna siku watatoka na nchi itapata uhuru wa kweli. Tuombe uzima haya yatokee tukiwa hai.
Ni swala la muda tu.🤣🤣🤣🤣🤣 Lakini hasusi mtu hapa mpaka kieleweke na watajua Kama hawajui
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. Leo katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.Hahhaaaaahahaa wakazi was Dar wako bizeeee
Wanatafuta pesa
Nimecheka eti Lissu anaweka msimamo kwa jambo ambalo haliwezekani
Yule polisi mpuuzi aliyesema watakaa na Lisu hata kwa wiki 2 bado hajajiuzuru tu ?Nakuonea huruma sana mwana ccm wewe!! Maana leo Lissu anaonesha mfano wa kipekee na kukitanabaisha Kama alama kuu ya haki na uhuru katika nchi hii!!
Kitendo ya Lissu kukesha na maaskari Leo sio tu kampeni kwake ila ni jambo linaloenda kumuweka katika heshima ya kipekee kabisa kwa watanzania!!
Mahtma Ghandi aligoma kura akitetea haki na kweli pamoja na kuvaa mashuk alikuja kuwa Waziri Mkuu wa India. Kitu alichofanya Lissu leo kimewai fanyw na watu wachache sana duniani na hao watu ni alama kubwa katika historia ya dunia!!
Hahhaaaaahahaa wakazi was Dar wako bizeeee
Wanatafuta pesa
Nimecheka eti Lissu anaweka msimamo kwa jambo ambalo haliwezekani
Alijifanya ana biti mbaya ila ameufyata na hata hajarudi kutoa mrejeshoYule polisi mpuuzi aliyesema watakaa na Lisu hata kwa wiki 2 bado hajajiuzuru tu ?
Nawashauri polisi wetu wachunge ndimi zao na wasikubali kutumikishwa kipumbavu na maccmAneurysma na mbaya hata hajarudi kutoa mrejesho
Mwisho wa Ccm ni October 28 tu hapo ndugu. Usitie shakaNawashauri polisi wetu wachunge ndimi zao na wasikubali kutumikishwa kipumbavu na maccm
Wewe punguani kweli, yaani watu waache mishe zao Kuja kushangaa utopolo?. Watanzania wote washajua, hilo ni boti lizamalo, halina dawa sheikh.Habari wana JF,
Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.
Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.
Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?
Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.
Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Kwani ina nini mkuu? Au ni ya kutengeneza?Ila hiyo picha ya Kakobe uliyoiweka hapo sio sawa, au ndo unaamua kumchafua mzee wetu, naomba Kama vipi tafuta nyingine weka hapo sio hiyo ya Kakobe[emoji120][emoji120]
Kiongozi lazima awe na msimamo....Hali niliyoiona pale Kiluvya jana itamlazimu Lissu kutafakari sana, ama Chama chake kimuacha ahangaike mwenyewe la wananchi wamchokamkwa mikwala yake. Yaani PEOPLES POWER imekuwa ya mitandaoni na majukwaa ya siasa. Pamoja na wakazi wengi eneo hili hakuna aliyekuwa tayari kusogea na chama hakikufanya juhudi yoyote kudhihirisha maneno yao ya "mgombea wetu akifanyiwa filigisu hatutakubali, nguvu ya umma itatumika". Kweli Tanzania ni ya wapenda amani.