Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

Habari wana JF,

Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.

Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.

Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?

Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.

Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Wakazi wa Dar sio wajinga kiasi hicho, wao wanaangalia maendeleo na sio mihemko ya kisiasa kama ilivyokuwa 2015.
 
Habari wana JF,

Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.

Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.

Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?

Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.

Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.
View attachment 1592381View attachment 1592382
View attachment 1592389
Hamtaacha kuo na kila rangi kwa macho yenu.Endelea kuouyanga kwa mapayoyo wenzio.Mimi na ukoo wangu hatuambiwi kitu chochote, 28 Mungu atuweke, kura kwa LISSU.
 
Mgombea wenu ni mbishi , hataki kufuata sheria, anatafuta achukuliwe hatua kali ili aseme anaonewa.

Hakuna Serikali inayomvumilia mvunja sheria kwa makusudi kwa kujaribu vyombo vya Usalama . Watu wa Dar wana akili zao timamu hawawezi kufuata upuuzi wa mgombea wenu
Nyie tunawajua waonevu tu.Ila mtaelewa tu.
 
Back
Top Bottom