Watu wa Dar bwana, you worry about everything!

Imagine tulikua tunaenda shamba km kama 15. Tena milimani..Dailly kwamiguu
Mie napenda sana kutembea, lakini isiwe kila siku na isiwe kwa ajili ya kuenda kufanya kazi bali iwe ni kwa ajili ya kujifurahisha tu.

Mie mbeya huwa natembea sana milimani
 
Mie napenda sana kutembea, lakini isiwe kila siku na isiwe kwa ajili ya kuenda kufanya kazi bali iwe ni kwa ajili ya kujifurahisha tu.

Mie mbeya huwa natembea sana milimani
Tulikua twaenda kuchunga maharage yasiliwe na tumbili. Muda mwingi tulitumia kutafuta asali msituni na kutafuta mabungo mtoni..+ kuwinda sungura
 
Tulikua twaenda kuchunga maharage yasiliwe na tumbili. Muda mwingi tulitumia kutafuta asali msituni na kutafuta mabungo mtoni..+ kuwinda sungura
Hapo angalau, ila siyo nitembee eti naenda shambani kulima au kuvuna maana hadi nafika shambani nguvu zitakuwa zimeniishia.
 
Hahaha wanaume wa Dar wanazingua... Ila kitu chochote kigeni kikitokea hakina mwanaume wa Dar wala wa Mkoani.

Arusha kile kimbunga kilichotokea mwaka jana mbona nao walitetemeka? Kitu ambacho hujakizoea kikitokea lazima kikupe hofu kama una moyo mwepesi
vidume daslam ruksa kuendelea kutetemeka.
 
Hahahaha kama mimi tu, kule kwetu kusini kuna baridi kiasi kwamba nikawa nasema, kwa kweli kama nimeweza kuzoea baridi la kwetu basi dar hakuna baridi ambalo litaja nishitua, ila hili baridi la kipindi hiki dar naona kama linanifanya nitengue kauli yangu.
😅 😅 😅 😅
Nilichogundua mdogo wangu ni kuwa kuna namna 'udaslam' unaambukizwa kwa njia ya hewa walaqhi'..!
 
Kwann mnapenda sana iponda dar nyny wa mikoani amjui kama nyny bila Dar uko kwenu sio lolote c chochote Dar es salaam ndo Tanzania ndo kila kitu mbishe mkatae ila uwo ndo ukweli acheni kuwa beza wa daslaamu...

121.
 
kigoma mjini inaingia mara 5 jqa manzese
Manzese na buguruni ni mjini sana.
Halafu acha basi kufananisha hiyo picha na manzese na buguruni.
Msela wa manzese akikusikia atakupiga

121.
 
Back
Top Bottom