Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,673
- 106,770
Sorry. Nimeona mkusema mengi kuhusu hali ya jana iliyotokea, binafsi mm sikuiona kutokana na eneo nilipo kulikua na Mawingu ya mvua.
Ila kutokana na picha nilizoona hiyo hali kwetu hua inatokea sana (Kigoma) maana kwetu jua huzama kuanzia saa 1 na 15 mpaka saa 1 na 30. Ambapo Dar na sehem zingine huwa ni giza kabisa. Hiyo hali inatokea sana, kuna siku nililala mchana nikaamka jioni nikakuta hali hiyo nikajua ni asubuhi nikakimbilia kuvaa nguo za shule.
Kiufupi hiyo hutokea sana kwetu..Nitaweka picha nilizopiga Dec na Jan nikiwa huko zikionyesha hali kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app