Watu wa benki jamani mnanitia majaribuni

Ukizichukua automatically itakua counted kama loan kwako. na kumbuka tulifundishwa katika corporate finance kanuni moja inasema one bird in hand is much better than two in the bush.
Loan? Mkuu loan unazijua lakini? Jamaa cha kwanza atawekwa ndani ili ndugu zake popote walipo waogope watafute hela popote zilipo waje wamkomboe...mpaka wazipate atakua amejiwekea historia ya kuwekwa lupango ktk maisha yake
 
Mi kwa muda wa miezi sita walikuwa waniongezea pesa walianza elfu 20 mpaka 90,nikamwambia ba watoto akaniambia niwe nachukua bank statement ili wakinikamata tuwabane vizuri.
Hakukushauri vizuri... tena hiyo ya kuchkua Bank statement ndio inakubana wewe maana ulikua unajua zinaingia na hukutoa taarifa wakati unatambua hujui zilikotoka... au tuambie ikaishaje, maana uwezekano ni kwamba mtu alichanganya digit moja maybe ndio akawa anadeposit kwako badala ya kwake
 
Loan? Mkuu loan unazijua lakini? Jamaa cha kwanza atawekwa ndani ili ndugu zake popote walipo waogope watafute hela popote zilipo waje wamkomboe...mpaka wazipate atakua amejiwekea historia ya kuwekwa lupango ktk maisha yake

mimi najibu kutokana na practical experience ingawa sio kwangu,kimsingi hana kesi ya kujibu kuchukua hela aliyowekewa kwenye account yake. kuna uwezekeno ikawa ni gawiyo la faida nania ajuaye? hili jambo kwa nje ni kosa ila mkifika mahakamani hana kosa kisheria ila atadaiwa tu kurudisha ila hana kabisa hatia kisheria. sio wajibu wake kujua kwenye account amebakiwa na shillingi ngapi
 
Hiyo bahati ingepitia pande hizi, sasa hivi ningekuwa na-jf live kutokea bar.
 
Acheni masikhara jaman ivi unajua huyo mtu akichukua hizo hela afisa wa bank aliyekosea hiyo transaction atatakiwa alipe?kwann umbebeshe mtu mzigo usiokuwa wake?
 
Hii situation kiukweli inachanganya sana,Mimi binafsi kuna jamaa cku moja kanipigia cm...... Simjui hanijui lkn akawa anasema "sasa ndugu yangu mi nipo bank hapa nirushie account yako lkn naomba nikulipe 8mil ndugu yangu naomba nisaidie tumalize biashara" mi nikabaki nimeduwaa...nikamuuliza unajua unaongea na nani? Akajibu anajua ndo maana ananiomba account, sbb nilijua jamaa ame-wrong number nikamwambia angalia hiyo namba hlf piga tena.. Unajua jamaa alipigia tena zaidi ya mara tatu akisisitiza nitume acc no lkn atatuma 8m tu ili tumalize business,,, mwisho kabisa ikabidi nimueleweshe kuwa amekosea namba na si deal na biashara kabisa,hapo ndo akili zikawa zimemrudia. Baadae alinitumia laki kunishukuru.
Alert: nothing is free
 
Akili ya div 5 utaijua , ukishakuwa bar ndio nini .

Achaga upu.mbavu wa kujipendekeza kwa waume za watu we mtoto wa kike, wanaume tunapoongea watoto wa kike mkae kimya.
Bar na div 5 vina uhusiano gani?
 
nikisikia mihela naona kilimanjaro ya baridiiiiiiiiiiii iko pembeni yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom