Watu wa benki jamani mnanitia majaribuni

Shukrani A. Ngonyani

Verified Member
Feb 23, 2014
1,115
2,000
Nimeamka asubuhi nina mia nne(tsh 400.00/=) mfukoni.

Nikajipa wazo ngoja niangalie salio benki kupitia simu yangu ya mkononi.

Nimeangalia mara 6 kuhakikisha kama ni macho yangu yananidanganya figures ninazoona. naona m.12,500,000/= wakati niliacha elfu 8 tu mara ya mwisho kwenye akaunti yangu.

Mnajua watu wa benk husika(siwataji) mna majaribu. Mmeniacha na mawazo lukuki tangu asubuhi.halafu tangu nimeona saa 3 asubuhi hadi sasa bado zipo tu.

1. je mmezichoka pesa zenu?
2. je nikichukua kuna tatizo? mtanifuata?
3. wasomi wa sheria nikichukua mkwanja huu ulio ktk akaunti yangu ni kosa na kama kosa ni lipi? madai au jinai?
4. au mnajivumia siwezi kutoa zote kwa SIM BANKING? na je nikiingia ndani benki nichukulie dirishani watanipa?

Mwisho nawapa muda, hadi saa 12 msipozihamisha hakika mtanilaumu. Yule adui mkuu ibilisi yuko jirani naona.

Ni taarifa tu, tusilaumiane wala kutafutana. Kumbukeni nina mia 4 tu halafu mnanipa majaribu mazito kama hayo.

UPDATES
hadi saa 10 hii bado zipo
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
We hujaona pesa labda umeona nyota nyota kwenye account yako
Pesa mpaka sasa hujaivuta tu
 
Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,239
2,000
Njoo nikusindikize ukachukue pesa zako mwayego, huenda umetendewa muujiza. Wakitaka kukukamata mie nipo ntakulinda ila utanipa walau 1.5 au..........................
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Gedeli

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
497
250
chukua kidogo kwa kumaliza shida yako ya leo tu manake kwa vyovyote vile utakuja zilipa tu hizo pesa kwa kuhamisha kila kinachonusa katika account yako
 
Cool

Senior Member
Aug 5, 2009
104
225
Nimeamka asubuhi nina mia nne(tsh 400.00/=) mfukoni.

Nikajipa wazo ngoja niangalie salio benki kupitia simu yangu ya mkononi.

Nimeangalia mara 6 kuhakikisha kama ni macho yangu yananidanganya figures ninazoona. naona m.12,500,000/= wakati niliacha elfu 8 tu mara ya mwisho kwenye akaunti yangu.

Mnajua watu wa benk husika(siwataji) mna majaribu. Mmeniacha na mawazo lukuki tangu asubuhi.halafu tangu nimeona saa 3 asubuhi hadi sasa bado zipo tu.

1. je mmezichoka pesa zenu?
2. je nikichukua kuna tatizo? mtanifuata?
3. wasomi wa sheria nikichukua mkwanja huu ulio ktk akaunti yangu ni kosa na kama kosa ni lipi? madai au jinai?
4. au mnajivumia siwezi kutoa zote kwa SIM BANKING? na je nikiingia ndani benki nichukulie dirishani watanipa?

Mwisho nawapa muda, hadi saa 12 msipozihamisha hakika mtanilaumu. Yule adui mkuu ibilisi yuko jirani naona.

Ni taarifa tu, tusilaumiane wala kutafutana. Kumbukeni leo nina mia 4 tu halafu mnanipa majaribu mazito kama hayo

Sema, NAMKATAA SHETANI NA KAZI ZAKE ZOTE, kisha potezea
 
kigoda

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,782
1,195
Au umelipwa ulikua huidai serikali kweli? Usije ukafurahi kumbe ni haki yako!
 
Kichoi

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
212
195
Nimeamka asubuhi nina mia nne(tsh 400.00/=) mfukoni.

Nikajipa wazo ngoja niangalie salio benki kupitia simu yangu ya mkononi.

Nimeangalia mara 6 kuhakikisha kama ni macho yangu yananidanganya figures ninazoona. naona m.12,500,000/= wakati niliacha elfu 8 tu mara ya mwisho kwenye akaunti yangu.

Mnajua watu wa benk husika(siwataji) mna majaribu. Mmeniacha na mawazo lukuki tangu asubuhi.halafu tangu nimeona saa 3 asubuhi hadi sasa bado zipo tu.

1. je mmezichoka pesa zenu?
2. je nikichukua kuna tatizo? mtanifuata?
3. wasomi wa sheria nikichukua mkwanja huu ulio ktk akaunti yangu ni kosa na kama kosa ni lipi? madai au jinai?
4. au mnajivumia siwezi kutoa zote kwa SIM BANKING? na je nikiingia ndani benki nichukulie dirishani watanipa?

Mwisho nawapa muda, hadi saa 12 msipozihamisha hakika mtanilaumu. Yule adui mkuu ibilisi yuko jirani naona.

Ni taarifa tu, tusilaumiane wala kutafutana. Kumbukeni leo nina mia 4 tu halafu mnanipa majaribu mazito kama hayo

Mhh! Ndugu yangu Nyie Ndio wakupiga Risasi Hamfai Kuishi Katika Ulimwengu Huu. Fedha ni kila kitu. Ukiwa na fedha unakuwa na Power, wew ndugu yangu wawapi?

Miss Chagga Uko wapi? Huyu ndugu yetu akili zake ziko sawa kweli?

Bahati haiji Mara Mbili. Utakufa Maskini, na maneno kama oooh ningejua!

Ushauri, nakutumia Account yangu, transfer hizo hela haraka kabla bank hawaja shtuka.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,006
2,000
Kuna mshkaji wangu alikuwa classmate wangu Chuo,kuna kipindi tulikuwa tumepigika mbaya hatuna hela kabisa hata ya kula,nikamuuliza kwenye akaunti yako kuna shs ngapi akajibu 15elfu na nadhani watakuwa wamekata makato yao ya miezi miwili so inaweza kuwa chini ya elfu kumi,nikamwambia twende tukajaribu kutoa hata hiyo 10elfu,tukafunga safari mpaka kwenye ATM kufika pale anacheki salio tuu ikasoma laki6,akatoka nje akaniambia aisee kuna hela nyingi sana imo kwenye akaunti sielewi imetoka wapi,jibu nililompa katoe hela zote kwanza then maswala ya hela imetoka wapi tutajua tukiwa Bar,jamaa akaingia akatoa hela zote.

Tukaondoka zetu kituo cha kwanza Bar,nikamwambia sasa ajifanye kuwaulizia wazazi wake kama ile hela aliyoomba washamtumia,wakamjibu hawajamtumia hela mpaka mwisho wa mwezi ndio watamtumia,nikambia hiyo ni posting error ya Bank so cha kufanya kuanzia sasa ile akaunti asiitumie tena na atoe taarifa kwa watu wote wenye hiyo akaunti,mpaka kesho Bank tuliwaachia manyoa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom