Sometmz when a gal say no she mean yes so lazma ung'ang'anie
Mbona sisi wanaume tukisem no mnasema tunaringa maana ck hz tunatongozwa sana nyie wadada aibu ilisbaenda kwao mnasema haki sawa!
Tatizo lenu huwa mnaongea msicho kimaanisha unaweza kusema no ili kumpima kama anakupenda ndo maana vijana wanakomaa mngekuwa mnamaanisha mbona ingekuwa simple tuWatu jifunzeni "NO na "YES"
Kwanini umng'ang'anie mwenzio kama hakupendi na wala hataki mahusiono na wewe??
Muwe waelewa sio kila mwanamke utakaye mfuata atakupenda,ukiambiwa stop na iwe hivyo sio kuwa kesho jamani.
Aaarrrrrrggggghhhhh!!!!!😡
mmmh sijawahi ona mwanaume ana sema no, wepesi wa kukubali tena huku anacheka cheka kama katekenywa...
wanawake ndo tungekuwa wanaume, kuwapata nyie hata sio tabu
:loco::loco::loco::loco::loco:
Wewe ushaona wapi swala akajipitisha kwa simba then simba amuache? nyie mnatukamata kirahisi huwa mnatumia body language mnavaa kimtego mara ujifanye haujakaa vizuri ili hali ukijua ugonjwa wa mwanaume uko wapi unategemea akatae? akigoma useme hajakamilikammmh sijawahi ona mwanaume ana sema no, wepesi wa kukubali tena huku anacheka cheka kama katekenywa...
wanawake ndo tungekuwa wanaume, kuwapata nyie hata sio tabu
:loco::loco::loco::loco::loco:
Wanaume wanasema no pia. Sa kama ni mwanamke kichwa cha ng'ombe ya nini kumkubalia
Wewe ushaona wapi swala akajipitisha kwa simba then simba amuache? nyie mnatukamata kirahisi huwa mnatumia bodt language mnavaa kimtego mara ujifanye haujakaa vizuri ili hali ukijua ugonjwa wa mwanaume uko wapi unategemea akatae? akigoma useme hajakamilika