Watu vinga'nga'nizi.

Watu vinga'nga'nizi.

wewe mtoa mada aliyekupa mamlaka ya kuwasemea wanawake wengine ni nani?
 
Mbele ya jina lako ungeweka 'a' lingependeza sana mkuu tian
 
Last edited by a moderator:
wewe mtoa mada aliyekupa mamlaka ya kuwasemea wanawake wengine ni nani?

Hebu nionyeshe nilipomsemea mwanamke

Rudi kwenye mada usome btn the lines
 
Nyuki pamoja na ukali wake wote lakini asali yaliwa...
 
Back
Top Bottom