Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

n
hata yule inzi mwenye rangi ya chama chakavu?
nilisoma shule moja o level kipindi cha nzi tulikuwa tunawakuta kama 20 wale wa kijani kwenye maharage na kumbuka maharage yalikuwa kidogo mchuzi mwingi hivyo mgawaji akigawa akiwa muugwana anawatoa au anawagawa pamoja nao na unapata maharage machache tena yaliyo poa na hakuna aliyekuwa anaumwa tumbo.
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
Acha usenge
 
Nimetapika sana, halafu wewe si babu wewe, bado una mademu kwani au enzi zileeee
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...

Ni wewe kikongwe Asprin umeandika haya!!!! dunia haipo
 
Mi sijui nikoje..nikiwa nakula akapita mdada mkaliiiiiiii hadi roho ikataka kumfata huwa HAMU YA KULA INAISHIAGA hapo hapo sijuagi kwanini...na ki ukweli njaa inapoteaga yote.

siku hizi sili sehemu tofauti na home maana staki kuyapa macho nafasi ya kuangalia angalia watu.
 
Back
Top Bottom