Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Me huwa ninashindwa kuwaelewa watu!
Mtu anajamba mtu aliyepo karibu naye anatema mate !
Au mtoto anakunya wakati unakula chakula unamsikia mtu akipiga mtoto anakunya jamanii utazani yeye hanyi!
Au mtu anaona konokono anatema mate huwa wana nishangaza sana!
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
Aiseee
 
Mimi naweza nikapiga msosi hata toilet. Sina kinyaa kabisa
Hhahha. Umenkumbusha A'Level mm na jamaa yangu tuluziba tundu la choo cha shule tukaingiza deka, tukawa tunakaa humo. Room ilikuaga inaitwa Chamber Mavi, Malangali huko
 
Habari wana JF,
Binadamu tumeumbwa tofauti hasa kwenye swala la kufanya maamuzi mbali mbali. Leo tujadili swala la kuhisi kinyaa....binafsi nina jamaa yangu ambaye mambo ya kinyaa huwa hana kabisa..yaani akiingia mdudu kwenye kinywaji anamto vizuri anaendelea kupiga zake kinywaji...akikuta kwenye chakula kwake sio tatizo.

Mdau niambie, wewe ukikuta mdudu au nywele kwenye kinywaji au chakula maamuzi yako yakoje?
Utakuta jitu lisomi na limevaa suti linapokula nguruwe kasingiziwa
 
Nilikuwa namuhudumia mgonjwa wa TB, sasa alikuwa na glass mbili,moja kwa ajili ya maji na nyingine kwa ajili ya, kutemea makohozi ya blue
Sasa **** siku kiu kilinishika nikachukua Ile glass nikafakamia,,
Nilipo malizia nikawa nasikia kama ladha ya chumvi mdomoni
Ila nilikaza roho tuuh!!!
Daaah ngoja nitoke kwenye huu uzi kabla sijatapika
 
Nilikuwa namuhudumia mgonjwa wa TB, sasa alikuwa na glass mbili,moja kwa ajili ya maji na nyingine kwa ajili ya, kutemea makohozi ya blue
Sasa **** siku kiu kilinishika nikachukua Ile glass nikafakamia,,
Nilipo malizia nikawa nasikia kama ladha ya chumvi mdomoni
Ila nilikaza roho tuuh!!!
Mwili umesisimka
 
Kwangu mimi mavi ya mtu ya ngombe na mbwa na mengineyo hayawezi nifanya niteme mate au nipoteze hamu ya kula kama nilikuwa nina kula ninaendelea kama kawaida! Tema atakohozi haina shidah!
 
Mdudu, kwa mfano inzi akiingia kwenye kilevi/kileo changu, namchukua ninamfyonya, then namrusha akafilie mbali huko, cha muhimu asinde na tone la kinywaji changu🙄
Tena kweli hilo sina shaka nalo; nilikuona siku ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nyinyi mmevunja rekodi
Hhahha. Umenkumbusha A'Level mm na jamaa yangu tuluziba tundu la choo cha shule tukaingiza deka, tukawa tunakaa humo. Room ilikuaga inaitwa Chamber Mavi, Malangali huko
 
Back
Top Bottom