Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Watu tupo tofauti kwenye kinyaa

Mh! Umenikumbusha mbali aisee! Kuna siku moja nilienda kunywa chai kwenye mgahawa mmoja nikaagiza chai,chapati na maharage! Wee acha tu, siku ile sitaisahau nilishinda kwa tabu sana! Nimekunywa chai na chapati ya kwanza vizuri tu nikachukua chapati ya pili ile nakaribia kumaliza chapati ya pili dah! nikachota kijiko cha maharage ile natafuna nikaona nimetafuna kitu laini kuliko maharage halafu kikubwa kuliko majarage na ladha tofauti na maharage duh! Nikashtuka nikatema mkononi kumbe ihiiii nimemtafuna mende tena yale makubwa aisee! Nilitamani kutapika lakini wapi, ikabidi nimuonyeshe mwenye mgahawa aibu ilioje ilibidi asinidai hata hela, ila mi siku hio nilishinda bila kula nilikuja kula usiku, usiombe utoko wa mende unaweza kulazwa hospitalini kwa kutapika.

sasa anashida gani huyo mende? si amekufa tayari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,huu uzi uishi milele
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
Aisee, nilikua najiona jasiri kwenye masuala ya kinyaa ila hapa nimekutana na shujaa kabisa[emoji23]
 
Nilishangaa mtaa wa samora asubuhi moja mlemavu mmoja mchanangamfu tu akamwomba jamaa aliyekua akipiga supu ambakizie daah akaachiwa Bakuli na kijiko akaendelea mpaka akanywa na mchuzi!
 
Mkuu we sikia tu hio kitu, ladha yake inataka kufanana na ya maziwa mgando lakini sio dah! Nilikuta mate gafla yamejaa mdomoni ninavotema ndo yanazidi kuongezeka we acha tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakua una aleji na vitu vitamu mkuu, mende akiiva vizuri ana ladha tamu sana. Ukitoa kitimoto kinachofuata kwa ladha tamu ni mende (hii siri wengi hawaijui).
 
Huyo cha mtoto kwangu. Mi nikipata demu nikiwa nakula denda hata akibanja mi nameza kohozi lake... Na kwenye maswala ya kupiga deki kwenye malavidavi ndio usiseme... hata kama binti yuko period mi napiga deki tu... nikitoka hapo mdomo utadhani fisi katoka kula mzoga wa swala...
Kumbe ndio maana dada fulani humu JF amekufa na kuoza kwako. hahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom