Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,903
- 141,686
Mfumo ni watu. Mfumo siyo mashine.Nyumbu hawawezi kukuelewa, wanakomalia mfumo huku wao wamemkumbatia Mbowe
Ili watu waweze ‘kung’atwa’, inabidi watu tubadilike kweli kweli.Katiba mpya ni muhimu, na umuhimu wake utaonekana pale ambapo katiba hiyo itawang’ata pale watakapoleta mazoea
Shida ya katiba ya sasa, ni kwamba yenyewe haijilindi. Hakuna anayetakiwa kuwa juu ya katiba. Kwetu, rais yupo juu yake. Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitna.Ili watu waweze ‘kung’atwa’, inabidi watu tubadilike kweli kweli.
Tuache kuogopana. Tuache kulindana.
Makaratasi ya katiba na maandishi ya katiba hayawezi ‘kumng’ata’ mtu pasipo na watu kuliwezesha hilo kutokea.
Mwisho wa siku sisi watu, wananchi, ndo tunawajibika.Shida ya katiba ya sasa, ni kwamba yenyewe haijilindi. Hakuna anayetakiwa kuwa juu ya katiba. Kwetu, rais yupo juu yake. Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitna.
Una hoja ya msingi…Japo kuna uhutaji wa katiba mpya, suala hili nchi hii lipo kisiasa sana. Sehemu kubwa ya push ya katiba ni kwa ajili ya upinzani wapate madaraka wala sio nia ya dhati ya kusaidia taifa.
Ndio maana wananchi wa kawaida hata hawasukumi hayo mabadiliko yafanyike.
RightJamii nayo ni mbovu.
Katiba inaiakisi jamii.
Japo kuna uhutaji wa katiba mpya, suala hili nchi hii lipo kisiasa sana. Sehemu kubwa ya push ya katiba ni kwa ajili ya upinzani wapate madaraka wala sio nia ya dhati ya kusaidia taifa.
Ndio maana wananchi wa kawaida hata hawasukumi hayo mabadiliko yafanyike.
Kama rais akiwa juu ya katiba, wananchi si lolote si chochote. Tena kama rais anatumia mkono wa chuma, na hakuna kipengele kwenye katiba cha kumwajibisha, tena hata akitoka madarakani ana “immunity” basi tusahau tu na wananchi siyo wa kulaumiwa hapo kwa maoni yangu.Mwisho wa siku sisi watu, wananchi, ndo tunawajibika.
Kwa nini tumwachie mtu mmoja awe juu ya katiba?...
Mfano rais wa awamu ya tano, alitumia hadi jeshi kuzima maandamano ambayo yanalindwa na katiba Kwani ni haki ya wananchi. Kwasababu hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote hata akiondoka madarakani, basi anaweza kufanya lolote analotaka bila kujali “consequences”Mwisho wa siku sisi watu, wananchi, ndo tunawajibika.
Kwa nini tumwachie mtu mmoja awe juu ya katiba?
Sisi wananchi tuko wengi sana, wengi mno kuliko Rais. Rais ni mtu mmoja tu.
Tukiamua, Rais hawezi kutufanya chochote kile.
Mabadiliko ya kifikra hayakwepeki hata iweje, endapo kweli tunataka mabadiliko.
That’s a defeatist attitude that I don’t subscribe to.Kama rais akiwa juu ya katiba, wananchi si lolote si chochote. Tena kama rais anatumia mkono wa chuma, na hakuna kipengele kwenye katiba cha kumwajibisha, tena hata akitoka madarakani ana “immunity” basi tusahau tu na wananchi siyo wa kulaumiwa hapo kwa maoni yangu.
Hata Hosni Mubarak alitumia jeshi kutaka kuzima maandamano.Mfano rais wa awamu ya tano, alitumia hadi jeshi kuzima maandamano ambayo yanalindwa na katiba Kwani ni haki ya wananchi. Kwasababu hawezi kushitakiwa kwa kosa lolote hata akiondoka madarakani, basi anaweza kufanya lolote analotaka bila kujali “consequences”
Hivi unadhani uko unapopasema ni sawa na sisi?That’s a defeatist attitude that I don’t subscribe to.
Fikra kama hizo zako ni ushahidi mwingine kuwa tunahitaji mabadiliko ya kifikra kwanza kabla ya kubadili hayo mengine.
Hukujifunza chochote toka kwenye Orange Revolution huko Ukraine?
Hukujifunza chochote toka kwenye Arab Spring?